Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Bado niko kwenye shock 🤣hamna shida nimekupenda just the way you are..... 😂
Mda wangu wa kuja kuitwa LISHANGAZI ukifika niwe nakula Pension taratibu 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Si unajua Fainali Uzeeni..acha tupambane tukiwa na nguvu