Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shindwa pepo 😂Imagine huyo ndo baba yako 😅😅😅
hamna.... just havin' fun 😂So upo JF kutafuta mpenzi sio??
Au unauza
Huyo ukute ana watoto wenye umri kama wako, watoto wake wanamuona poa tushindwa pepo 😂
ila 😂 we all have a dark side......Huyo ukute ana watoto wenye umri kama wako, watoto wake wanamuona poa tu
Heri kujiepusha tu Mimi nimeacha marafiki Kwa namna hyo maana walevi wengi hupenda kulazimisha mtu unywe poa ka wao na usipokunnywa wanakutenga kiaina hivi kuliko uharibikiwe mapema Bora ujiepushe tuKu-hangout na washkaji.... Weekend nyingi lazima kuna mtu atapendekeza twende sehemu flani tukale bata....
Yes we all do.ila 😂 we all have a dark side......
[emoji2][emoji2]mie wa kishimundu sijawahi onja licha ya kuzungukwa na walevi Kila corner it's not easy my dear watu Huwa wanashamgaa kweli mie yangu maji, juice, live band na kusafiri ndio vitu navipenda
tatizo sitaki kua mlokole.....Heri kujiepusha tu Mimi nimeacha marafiki Kwa namna hyo maana walevi wengi hupenda kulazimisha mtu unywe poa ka wao na usipokunnywa wanakutenga kiaina hivi kuliko uharibikiwe mapema Bora ujiepushe tu
Kwani kutokuvuta bangi, kunywa pombe ndio ulokole?tatizo sitaki kua mlokole.....
inner voice inanigombeza sana😂Kwani kutokuvuta bangi, kunywa pombe ndio ulokole?
Mbona jambo jipya Hilo, but be you na nafsi yako iamue bila external influence itakusaidia maana Hadi kuukiza hivi Kuna nafsi mbili zinashindana so you listen to ur inner voice, nakuombea uvuke salama hii stage
Ausio....ngoja tuone mwisho itakuajeTatizo pressure.... The pressure is real....
Daah kaka hivyo vitabu ni vikubwa mno kuna level fulani ukifika kwenye maisha ndo unapaswa kusoma...Umri wako unaruhusu kujijenga.
Anza program ya mazoezi jioni.
Soma vitabu hivi na uvielewe “think and grow rich” na “the richest man in Babylon”.
Tafuta target ya maisha yako uanze kufuata kupitia techniques za hizo vitabu.
Automatic utajiepusha na hizo mambo za ajabu na utakuja kushukuru after ten years.
Wengine hatukupata hizi bahati za mentors wazuri na resources.
nachukua notes.... 😂Daah kaka hivyo vitabu ni vikubwa mno kuna level fulani ukifika kwenye maisha ndo unapaswa kusoma...
kwa tatizo la mtoa mada nafikiri ktabu cha "the power of positive thinking" kitamfaa kwa sasa hivi
Pitia hicho utakuja kunishukuru😂nachukua notes.... 😂
Nilitaka kushangaa usimtaje mwanaume aliyekutoa bikra... Sisi huwa hatusahauliki.miaka nenda rudi.... Tunakuwa tumeweka alama ya kudumu. 🤣🤣🤣🤣Uzuri kijana ana miaka 19 yrs lakini ana Huwezo mkubwa wa kuwasilisha hoja zake na kueleweka kuliko matured man wengi Kama akina Chizi Maarifa
kwahiyo wewe ni wale mlioleft group??Nilitaka kushangaa usimtaje mwanaume aliyekutoa bikra... Sisi huwa hatusahauliki.miaka nenda rudi.... Tunakuwa tumeweka alama ya kudumu. 🤣🤣🤣🤣
Miaka mingi sasa mmekuwa mkiishi hayo maisha??Miaka mingi sasa tumekua tukiishi haya maisha.... kwenda maclub weekend na 'kula bata'. Mimi nimekua nikijizuia mno...... nazugazuga chupa moja nainya hata masaa 2-3.....
sio mingi kivile tokea 2018....Miaka mingi sasa mmekuwa mkiishi hayo maisha??
MIAKA MINGI IPI WE MBUZI NA UNA MIAKA 19 TU?? NG'OMBE WEWE KULA POMBE NA WENZAKO, BANGI NA SHISHA ACHANA NAZO
Kula pombe dogo, kula pombe! Kama upo dsm nicheki PM uje TTG Kimara Korogwe ule windhoek tani yako ukalale.sio mingi kivile tokea 2018....