Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

Ukienda Arusha utapoteza zaidi,
Ulipokua unafanya kazi nna uhakika ulipata kufahamiana na watu wengine inje ya kazi Ila kazi ndo iliwaleta, tumia hiyo uweze kupata hela zaidi.
Suala la matumizi ya hela yako hapo pambana.
 
Kwani arusha kwenu? Kama sio kwenu na vijisenti vyako RChuga utaiweza? Bora Dar mara 100%. Nenda mbezi mwisho anzisha biashara ya vyakula!
 
Umepotezaje kazi?

Muhimu endelea kutafuta kazi maana ujuzi wako bado unauhitaji mkubwa sana... tfauta pia nje....lakini pia angalia namna unaweza kuzalisha pesa ya kuishi wakati unatafuta fursa...je unaweza kufanya kitu gani kikaingiza pesa?? Computer accessory shop from antivirus mpaka windows na pirated softwares...apps, website design, content creation etc....
 
Mimi nahisi wazo lakwenda mikoani nibora ila sio Arusha ila tujiandae kuwa chingaboy. kwa hiyo hela na kama unataka kuwa hivyo basi njoo like zone michongo ipo.
 
Trump effect,pole sana,maisha yakikushinda kabisa nitafute mimi mlezi wa wana,hutojutia
 
hivi hiyo 33% huwa ni wanakupa tu.. haipungui kwenye makusanyo yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…