Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani arusha kwenu? Kama sio kwenu na vijisenti vyako RChuga utaiweza? Bora Dar mara 100%. Nenda mbezi mwisho anzisha biashara ya vyakula!Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu naweza kupata tena kazi na mimi mpango wa kuajiriwa sina tena na wala sitaki..
Naombeni ushauri wenu nifanye biashara gani na hyo 1.3million nawaza kwenda Arusha nikajitafute upya kwa sasa Naishi Dar
Duka la vipodozi kwa 1.3M?Mbona wanasema Dar ndiyo pa kutobolea mkuu,Duka la vipodozi
Arusha ni homeKwani arusha kwenu? Kama sio kwenu na vijisenti vyako RChuga utaiweza? Bora Dar mara 100%. Nenda mbezi mwisho anzisha biashara ya vyakula!
Anaanza na mafuta matano mkuuDuka la vipodozi kwa 1.3M?
Nipe mkakati na mimi nifungue kwa hela hiyo 😃
Rudisha majeshi home!Arusha ni home
Sijawahi sikia mtu anaenda arusha kujitafuta, leo ndo mara ya kwanzaUnataka kwenda Arusha kujitafuta au kujipoteza?
FIC ukiweka 1.3M kila siku unadownload not less than 100k per day
Wee dogo🤣😅😅
hivi hiyo 33% huwa ni wanakupa tu.. haipungui kwenye makusanyo yako?Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu naweza kupata tena kazi na mimi mpango wa kuajiriwa sina tena na wala sitaki..
Naombeni ushauri wenu nifanye biashara gani na hyo 1.3million nawaza kwenda Arusha nikajitafute upya kwa sasa Naishi Dar