Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Mkuu na mm nipo katika hali gani?
 
Aisee..fungua kanisa utupuluse sadaka zetu
Kanisa la kristo hutalazimishi watu kutoa sadaka,kile ulichobarikiwa toa kidogo tu na Mungu atakunariki,kama una uwezo tazama watoto yatima walio kwenye vituo vyao ,nafsi zao zitafirahi hata kwa kile kidogo utakacho wape,na nguvu yake ni kubwa sana ,maana watakachoshukuru kutoka kwako itakufanya mambo yako yanyooke
 
Sijawahi kukosea kile ninachoona juu ya mtu,au unataka niendelee kukuambia na mengine pamoja na huo ugonjwa

Acha kumtisha mwenzako.
Hiyo ni situation inayokuja automatically sio Kwa hisia na Kupenda kwako..

Kuna mwenzako alinitishia Kama wewe ulivyomtishia mshikaji, nikamwambia isipotokea nakulasha vibao. Akasema fresh.

Kesho yake amefunga chumba chake wiki nzima.
 
Pole
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Tangaza biashara yako bila kuniambia unatanga biashara yako
 
Wajuzi wa mambo haya,

Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma,
Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama,
Nambie na mimi saivi nasumbuliwa na nini
 
Hasa ndo uumize akili mkuu! Usijali kabisa!sorry sijasoma mpk mwisho,lkn!
Kwanza km mama yako yuko hai mshirikishe akusaidie kukuombea hili jambo mpk ukae sawa!

Ktk zile huduma 5 ,unayo ya kinabii! Na Mungu akusaidie sana hapa adui amejikita sana kugeuza mambo kuharibu,kufunga macho ya rohoni!
Lkn naona pia karama ya uponyaji!
Mungu akusaidie sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…