Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 40
Wanajamii,
naombeni mawazo yenu kidogo...!
Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.
Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.
Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.
Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"
Wajemeni kuna usalama kweli
Mkuuu huyo demu sio mjanja kabisa ila naona kama anataka kuforce love kwa njia hiyo ya kuolewa ila sio kwamba etii anamapenzi ya dhati...Yeah kama anataka kuolewa anipe nakula alafu natambaa kimtindo unadhani hapo itakuwaje?
Kani wewe ni msafi Kiasi gani????? Wakati mwingine sisi wanaume tunajisahau sana, tunataka kujua past za wenzetu wakati sisi ndio tumebobea kwa vicheche. huyo dada wala HAJAKUFORCE, wewe ndie ulimfuata na yeye akaweka terms zake FULL STOP. unaogopa responsibilities? wakati unamfuata hukujua kabila lake mpaka leo hii uifanye kama kisingizio? WAKE UP MAN BE REAL.