Naombwa ndoa kwa nguvu

Naombwa ndoa kwa nguvu

Wanajamii,

naombeni mawazo yenu kidogo...!

Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.

Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.

Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.

Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"

Wajemeni kuna usalama kweli

Mkuuu huyo demu sio mjanja kabisa ila naona kama anataka kuforce love kwa njia hiyo ya kuolewa ila sio kwamba etii anamapenzi ya dhati...Yeah kama anataka kuolewa anipe nakula alafu natambaa kimtindo unadhani hapo itakuwaje?

Kani wewe ni msafi Kiasi gani????? Wakati mwingine sisi wanaume tunajisahau sana, tunataka kujua past za wenzetu wakati sisi ndio tumebobea kwa vicheche. huyo dada wala HAJAKUFORCE, wewe ndie ulimfuata na yeye akaweka terms zake FULL STOP. unaogopa responsibilities? wakati unamfuata hukujua kabila lake mpaka leo hii uifanye kama kisingizio? WAKE UP MAN BE REAL.
 
Wanajamii,

naombeni mawazo yenu kidogo...!

Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.

Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.

Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.

Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"

Wajemeni kuna usalama kweli

Mkuu hiyo siyo ndoa ni NDOANO.
 
Kaka uliyetoa hii mada wewe umezungumzi tu habari za misichana, lakini hujatuambia wewe unataka nini kwake na una nia gani na yeye,Je unampenda kweli au unabahatisha nivizuri kama huna nia yoyote na yeye umwambie mapema ili asipoteze muda wake.
Halafu kuhusu kukuambia mara kwa mara anataka kuolewa sidhani kama ni kicheche ukiangalia umri umeenda anajisikia vibaya na hataki kuelezea past yake labda inamuumiza.
wewe kaa naye mwambie msimamo wako as a man uwe serious akambie hicho anachotaka then ndo ujue pa kuanzia na kuhusu kabila jamani siku hizi hayo mambo hayapo mbona kuna makabila mengine kuna wasichana wahuni tena sana tu na siyo wahaya,
Lakini inaonyesha na wewe huna nia mwanaume mwenye nia angekuwa serious hata kama vipi.
 
This is true story!

Nilimdate mdada fulani kama miezi 3 hivi pia...baada ya kukutana naye huku ughaibuni. Sikuwahi fikiria aje kuwa mwenza wangu nilichukulia tunasaidiana kuondoa ukame. kadri zilivyokwenda alijiweka karibu sana na mimi...alianza kunambia bwana unampango gani na mimi...nilimjibu tunahitaji muda kujuana. Nilianza ulizia profile yake, ndipo nilipogundua aliisha haribu sana huko nyuma na hana sifa nzuri kwenye jamii...nilienda bongo na kuulizia habari zake zaidi...duuu kwa kweli ni balaa...niliporudi nilimwambia bwana lets part for sometime I need concetration na mambo yangu...alikuwa hanielewi, alifata marafiki zangu na hata ndugu zangu wanisaidie nimwelewe...niliweka msimamo na kubadili hata line ya simu...alikuwa analazimisha ahamie kwangu...of latest nikamwambia I am in a serious relation aniache. Akanitumia ujumbe kuwa anaolewa nikamwambia all the best nitakuchangia...bwana wee amenibadilikia eti nimempotezea muda, nikamwambia I never mentioned kuowa bwana...amekuwa adui yangu balaaa ananipakazia ile mbaya...nadhani atanitoa kule zeuchungu maana anapicha zangu....jamani kuolewa ni dili sana wadada?

masa

watu wengine kuachwa ni mpaka uwafungie novena, du! mie ningekuwa bado nicngejiingiza ndani, sema ndio vle tena waliomo ndani wanataka kutoka na wa nje wanataka kuingia.
 
Jamani inawezekana yuko clean huyo dada ila tu anataka kuujua msimamo wako kwake kwa sababu huwa ni kawaida (si umesema ameshatimiza 30?) Unategemea nini?

Na wewe unnichekesha sana...... alikuwa wapi siku zooote hizo [30 x 365.25] leo ndio aparamie watu kwa miezi mitatu? Kuna kitu kinafichwa..

Niko sekta ya afya na cases nyingi za HIV ukifuatilia maambukizo utakuta yako vivyo kwa sababu ya denial ya past au diseases etc... nisiende mbali kwa hili, turudi kwenye mada

...HICHO KIPORO NDUGU YANGU, UKIONA HAKUONEKANA ANA 23 ATAONEKANA LEO ANA 30? WE KIPASHE HICHO KIPORO ULE KAMA UNATAKA

NI WAGUMU SANA KUISHI NAO HAO UKIWACHUKUA BAADA YA 30, WAKAKUWA WESHATUMIKA NA TABIA HAZIKUNJIKI
 
Swali zuri Mkuu.
1.Inawezekana alikuwa hajajua kuwa umri unakwenda na huyo Mr. Right anayemsubiri hatokei. Ndo maana kaamua ajue huyu ana mwelekeo upi.

2. Inawezekana kabisa kuwa alishadanganywa so anajihami.

3. Sio kama namtetea ni katika kuwaza tu. Ila inawezekana pia ni kimeo kama unavyosema na sasa kinatafuta wa kumwuzia mbuzi kwenye gunia . Ah wait. si kumwuuzia mbuzi kwenye gunia kwani amemwambia yeye yuko clean kiasi hicho?. She might have her pasts.... . so do you!

Tusikimbilie tu kuwa ni kimeo tuwaze pia outside that box jamani ah!
 
Na wewe unnichekesha sana...... alikuwa wapi siku zooote hizo [30 x 365.25] leo ndio aparamie watu kwa miezi mitatu? Kuna kitu kinafichwa..
Niko sekta ya afya na cases nyingi za HIV ukifuatilia maambukizo utakuta yako vivyo kwa sababu ya denial ya past au diseases etc... nisiende mbali kwa hili, turudi kwenye mada

...HICHO KIPORO NDUGU YANGU, UKIONA HAKUONEKANA ANA 23 ATAONEKANA LEO ANA 30? WE KIPASHE HICHO KIPORO ULE KAMA UNATAKA

NI WAGUMU SANA KUISHI NAO HAO UKIWACHUKUA BAADA YA 30, WAKAKUWA WESHATUMIKA NA TABIA HAZIKUNJIKI

Nimenukuu hii post yako mkuu ili kuelezea machache:
1.Miaka ya nyuma, wanawake wengi walikuwa wanaolewa mara baada ya kumaliza Uni au kozi ( hii ilikuwa wakiwa around 23-25 yrs) na wengi wa hawa wadada walikuwa tayari kuolewa na kijana yeyote potential.Mambo ya kujenga career yalikuwa secondary.Kutafuta mwanaume ambaye ana pesa ilikuwa siyo dili sana na hata hivyo hao waliokuwa na pesa zao tayari walikuwa wameoa au vi playboy fulani and therefore not hubby material.
2. Miaka ya karibuni,wasichana na wavulana (wengi wao) wote unakuta wanataka kujijenga kwanza kimaisha kabla y akujiingiza kwenye ndoa( kutafuta pesa, kuwa na gari, ku experiece life after Univ. or college) in so doing unakuta kuwa wanawake/wasichana umri unaenda wakati wao wako busy na maisha na in the process wengine hujivunia jina baya maana na serial relatioships nazo zinakuwa si haba kwa sababu mbalimbali ( boyfriends wenyewe siyo waaminifu kihivo, wasichana wengine nao wako too choosy etc).
3.Inapokuwa umri umeenda kwa mwanamke, pia the biological clock haisimami, it is going against the woman maana past 35yrs hata kuzaa nako kunakuwa mbinde ndo unaona mimba nyingi zikiwasumbua kwa bed rest, kushonwa kizazi hadi mimba ikue, kuzaa watoto wenye matatizo kama down's syndrome etc)..kwa msichana mwenye kutaka sana kuolewa ndo anakuwa very desperate kusikia mvulana akipropose.If no proposal is forthcoming kuna wengine wako daring wanalazimisha kujua ndoa itafungwa lini.

Ushauri: wewe mkaka unayelazimishwa ndoa, jaribu kuelewa situation- je alichelewa kwa sababu gani ( kula maisha tu au kujenga career, kuchagua sana au??).Amua bila ya kujali wengine wana maoni gani.
 
WoS, umesema kweli mama!

Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mtu (msichana hata mvulana kuchelewa kuoa). Kwa hiyo wapo watu wengi sana na wa jinsia zote wanaojiona kuwa wamechelewa kuingia kwenye ndoa na kwa sababu tofauti (nzuri au mbaya). Ukikutana na mtu wa namna hiyo basi hana muda wa kupoteza. Endapo wewe bado upo upo kwanza, basi huyo hakufai hata kidogo.

Kwa hiyo, kama huyu jamaa anayeomba ushauri anaona akuwa yuko tayari kuanza ngwe ya maisha ya ndoa, basi atoe jibu na si kuanza kutafuta visingizio vya umri na kabila. Kama amempenda mtu, basi anaweza kukubali ila akaomba wapeane muda wa kufahamiana. Hiyo nadhani itakuwa poa badala ya kuanza kulalama. Huyo dada hata kama maisha yake ya nyuma ni machafu kiasi gani, nampongeza sana kwmaba anataka mabadiliko (changes she can believe in!) kwani biashara ni asubuhi. Na kuonesha ni mjanja, mashine kaweza security lock. Hapo bwana lazima kieleweke na hakuna mchezo mchezo. Kijana toa jibu au ingia mitini.
 
Last edited:
Masanilo,
kuolewa uliomwengu wa sasa wala sio dili. Zamani watu ndio waliona dili, lakini dunia ya sasa cha msingi ni elimu kwa mtoto wa kike au kwa mwanamke na kuwa na kazi yake. Mie naona kuolewa sio dili.
MMhm.. mwanzo wa kuelekea kwenye ushoga
 
Kuna kitu kimoja hapa tunatakiwa tuelewe wanaJF huyu kanda2 inawezekana hajalazimishwa ndoa ila huyu mdada pengine alitaka kucheck stability ya mshkaji ili aamue moja. Huyu dada hata kama past alikuwa kicheche cha muhimu hapo ni kupima afya zenu kama wote mko poa na wewe msela muda wako wa kumerry umefika huyo ndiye mwanamke wa kuoa kwa sababu ameshapitia kila aina ya life na sasa ameamua kutulia na kuwa mvumilivu kwa kila kitu. Pia wewe ungetuambia umri wako ingetusaidia zaidi.
 
Nimenukuu hii post yako mkuu ili kuelezea machache:
1.Miaka ya nyuma, wanawake wengi walikuwa wanaolewa mara baada ya kumaliza Uni au kozi ( hii ilikuwa wakiwa around 23-25 yrs) na wengi wa hawa wadada walikuwa tayari kuolewa na kijana yeyote potential.Mambo ya kujenga career yalikuwa secondary.Kutafuta mwanaume ambaye ana pesa ilikuwa siyo dili sana na hata hivyo hao waliokuwa na pesa zao tayari walikuwa wameoa au vi playboy fulani and therefore not hubby material.
2. Miaka ya karibuni,wasichana na wavulana (wengi wao) wote unakuta wanataka kujijenga kwanza kimaisha kabla y akujiingiza kwenye ndoa( kutafuta pesa, kuwa na gari, ku experiece life after Univ. or college) in so doing unakuta kuwa wanawake/wasichana umri unaenda wakati wao wako busy na maisha na in the process wengine hujivunia jina baya maana na serial relatioships nazo zinakuwa si haba kwa sababu mbalimbali ( boyfriends wenyewe siyo waaminifu kihivo, wasichana wengine nao wako too choosy etc).
3.Inapokuwa umri umeenda kwa mwanamke, pia the biological clock haisimami, it is going against the woman maana past 35yrs hata kuzaa nako kunakuwa mbinde ndo unaona mimba nyingi zikiwasumbua kwa bed rest, kushonwa kizazi hadi mimba ikue, kuzaa watoto wenye matatizo kama down's syndrome etc)..kwa msichana mwenye kutaka sana kuolewa ndo anakuwa very desperate kusikia mvulana akipropose.If no proposal is forthcoming kuna wengine wako daring wanalazimisha kujua ndoa itafungwa lini.

Ushauri: wewe mkaka unayelazimishwa ndoa, jaribu kuelewa situation- je alichelewa kwa sababu gani ( kula maisha tu au kujenga career, kuchagua sana au??).Amua bila ya kujali wengine wana maoni gani.

Couldnt say more: You nailed it very well Sisy
 
mami umemaliza kila kitu, well said.
 
Wanajamii,

naombeni mawazo yenu kidogo...!

Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.

Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.

Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.

Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"

Wajemeni kuna usalama kweli

Yakhee, jumba bovu hiloo. kuwa makini
 
ahahahaah.....kwani ndg kanda2....nani kakuambia haluwa ina makombooo?...na lini ushaenda hoteli ukaletewa saani mpya ukatiliwa chakulaaa?....kwani nani kakuambia kwenye ndoa na mahusiano hatuhitaji uzoefuuu?....kwanini unahoji mwenzio kuwa na kiji-experience cha 31yrs kama disqualification ya kuwa mkeeee?....kwanini pia unaogopa kujibu swali la mpenzi wako la lini utamwoaaa....kwani sio wewe uliyemfuata na kumtongoza na kumwambia wampenda?...ni mapenzi gani ulokuwa nayo kwake kiasi cha leo kuja hapa jamii jumuiyani kutuomba ushauriii?.....BWANA MDOGO SKIZA,.....ww unataka kupiga friend match na kabinti ka watu kisha ukamwage...hiyo siyo issue....unataka kunywa maziwa hupendi kufuga ngombe ....dogo wanaume halisi hatuko ivyooo...kubali majukumu...na mshukuru mungu kwa kukupatioa mchumba mzoefu (30yrs experience )..naamini utakuwa na ndoa safi sanaaaa.

KILA LA HERI KATIKA NDOA YAKO TARAJIWA
 
watu wengine kuachwa ni mpaka uwafungie novena, du! mie ningekuwa bado nicngejiingiza ndani, sema ndio vle tena waliomo ndani wanataka kutoka na wa nje wanataka kuingia.

...'ukitaka ujua uhondo wa ngoma, uingie ucheze' ...bila kuolewa ungejuaje hicho kiti ni moto? ...hamuoni kina mama waangushapo vilio mabinti zao wanapokuwa wanashereheka harusini?

...HICHO KIPORO NDUGU YANGU, UKIONA HAKUONEKANA ANA 23 ATAONEKANA LEO ANA 30? WE KIPASHE HICHO KIPORO ULE KAMA UNATAKA

NI WAGUMU SANA KUISHI NAO HAO UKIWACHUKUA BAADA YA 30, WAKAKUWA WESHATUMIKA NA TABIA HAZIKUNJIKI

...mwanamke chini ya miaka 30 hajaijua dunia, Age comes with maturity!

Yakhee, jumba bovu hiloo. kuwa makini

...heri ya jumba bovu lenye msingi imara kuliko jumba jipya lisohimili mitikisiko!
 
Maoni Yangu....

Nimenukuu hii post yako mkuu ili kuelezea machache:
1.Miaka ya nyuma, wanawake wengi walikuwa wanaolewa mara baada ya kumaliza Uni au kozi ( hii ilikuwa wakiwa around 23-25 yrs) na wengi wa hawa wadada walikuwa tayari kuolewa na kijana yeyote potential.Mambo ya kujenga career yalikuwa secondary. Na ndio maana ndoa za nyuma zilikuwa na substance sio za sasa ni subsidiary baada ya career, pesa na raha!!

Kutafuta mwanaume ambaye ana pesa ilikuwa siyo dili sana na hata hivyo hao waliokuwa na pesa zao tayari walikuwa wameoa au vi playboy fulani and therefore not hubby material. Hadi leo ni vivyo hivyo...

2. Miaka ya karibuni,wasichana na wavulana (wengi wao) wote unakuta wanataka kujijenga kwanza kimaisha kabla y akujiingiza kwenye ndoa( kutafuta pesa, kuwa na gari, ku experiece life after Univ. or college) in so doing unakuta kuwa wanawake/wasichana umri unaenda wakati wao wako busy na maisha na in the process wengine hujivunia jina baya maana na serial relatioships nazo zinakuwa si haba kwa sababu mbalimbali ( boyfriends wenyewe siyo waaminifu kihivo, wasichana wengine nao wako too choosy etc). Yes once again, caught by momentarily obsessions and vitu vya kupita mwisho tunakuwa manungayembe

3.Inapokuwa umri umeenda kwa mwanamke, pia the biological clock haisimami, it is going against the woman maana past 35yrs hata kuzaa nako kunakuwa mbinde ndo unaona mimba nyingi zikiwasumbua kwa bed rest, kushonwa kizazi hadi mimba ikue, kuzaa watoto wenye matatizo kama down's syndrome etc)..kwa msichana mwenye kutaka sana kuolewa ndo anakuwa very desperate kusikia mvulana akipropose.If no proposal is forthcoming kuna wengine wako daring wanalazimisha kujua ndoa itafungwa lini. Sasa kuna haja gani ya kuoa mtu in five years kuzaa kuchi nehi che!! clock kakaa nayo mwenyewe halafu anataka kumsukumia mtu machweo, hamad miaka kumi tu, menopause hiyooooooo halafu tukila mpya kelele hadi kwa pengo!!

Ushauri: wewe mkaka unayelazimishwa ndoa, jaribu kuelewa situation- je alichelewa kwa sababu gani ( kula maisha tu au kujenga career, kuchagua sana au??).Amua bila ya kujali wengine wana maoni gani.

TEXT NDYINGINE IKO NDANI... PAPO KWA HAPO YA PINDA AND FURTHER TEXT BELOW

...Hakuna ushauri hapo, wanaume tunakuwa viroba vya kubeba wanawake walioona ndoa ni secondary halafu tukiacha wanatulaumu... UKIOA HUYO UNAKUWA NA TIMELINES KAMA ZILE ZA MABOSI WETU, FIVE YEARS PLAN KUZAA, FIVE NEXT YEARS UGOMVI THEN UZEE

TUSIDANGANYANE SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI... AKIFIKA 30'S HAKUNJIKI
 
Ndugu kuolewa ni big deal all over africa, ayesema si deal basi amekumbwa na mambo aliyosema Saikosisi hapo juu. I know over 8 tz divas ambao usiku na mchana wanafight waolewe. Ndo mana hapa bongo hakuna msichana ambaye kafika umri wa kuolewa akatokewa na njemba akakataa (ceteris peribus). Ukitaka kutafuna mabinti hapa mjini ingia kwa gia ya kuoa utatafuna kila mtu toka mabinti waliosoma na kazi zao mpaka wale wa mission town ambao ukimsalimia tu kwa neno moja "mambo" kesha kujibu sentensi kama sita hivi.

Ukitaka kuamini jinsi gani wanawake wanaona ndoa big deal, siku akitangaziwa tu ndoa basi kila shosti wake siku hiyo atampigia kumtaarifu kuhusu hiyo news!!
 
mami umemaliza kila kitu, well said.

ACHA WEWE,

wote tunafahamu mtu aliyechelewa kuoa au kuolewa ana matatizo, whether ni career, usongo, imani etc... kila kitu na wakati wake

najaribu kulinganisha na mtu aliyechelewa kubalehe, mchungwa uliochelewa kuzaa etc. KILA JAMBO NA WAKATI WAKE

ONE QUESTION... KWANINI ASIENDELEE NA UTULIVU NA SI KUPARAMIA MTU, KUKATAA PAST, KUTOKUWA MUWAZI... YANNI YOTE HAYO HAMUONI KAMA NI INDIKETAS ZA MATATIZO WATANZANIA????????????

MWANAMKE MWEMA HAKATAI MAISHA YAKE KWANI NI SAWA NA KUKIMBIA KIVULI CHAKE

HAKUNA MWANAMKE HAPO.....
 
Maoni Yangu....

TUSIDANGANYANE SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI... AKIFIKA 30'S HAKUNJIKI

...mkuu, kiumbe mwanamke hata afike 50's bado anakunjika, inategemeana na ulimi wako tu unavyouzungusha!
 
La haula, kazi kweli kweli. Lakin ni wajib kumsaidia kwa kumuhifadhwi.

Maa salaam

Dr barubaru
 
Back
Top Bottom