Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

Kiukwel simba imejishushia heshima kweny swala la Morrison wamefanya ujinga na ujinga huo unaweza kuwagarimu
Ujinga gan? Inawezekana ww ndo ume comment ujinga kitu usichofaham..kesi ipo TFF ni yanga vs morison, hakuna mkataba wa simba vs morison..kama upo tumbie.

Simba hajamsajil morison. Tumia ubongo kuchanganua mambo
 
Ujinga gan? Inawezekana ww ndo ume comment ujinga kitu usichofaham..kesi ipo TFF ni yanga vs morison, hakuna mkataba wa simba vs morison..kama upo tumbie..
Simba hajamsajil morison..
Tumia ubongo kuchanganua mambo
Picha alizopiga za wapi?
 
Hili sakata yanga waachane nalo hivi akirudi yanga atakuwa na moyo wa kucheza tafuteni mchezaji mwingine
 
Kwa kauli hii ya msemaji wa serekali kuna kitu wanajua.
 
Hiyo ngoma ngumu,hakuna atakayeshinda hapa ila inaweza kula kwa mchezaji mtani,huyu mchezaji tunaweza kumkosa wote
Hata na mie nimeifikiria hiyo Mtani hii inaeza kula kwake Mchezaji mwisho wa siku wote tukakosa.

Ila liishe bana tushachoka kusubiri.
 
Hata na mie nimeifikiria hiyo Mtani hii inaeza kula kwake Mchezaji mwisho wa siku wote tukakosa.

Ila liishe bana tushachoka kusubiri.
Ila navyoona wanaweza wasimalize kesi leo pia ,maana TFF nao wana madudu kibao
 
hata shishimbi alitamka amesaini

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…