Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Kiukwel simba imejishushia heshima kweny swala la Morrison wamefanya ujinga na ujinga huo unaweza kuwagarimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga gan? Inawezekana ww ndo ume comment ujinga kitu usichofaham..kesi ipo TFF ni yanga vs morison, hakuna mkataba wa simba vs morison..kama upo tumbie.Kiukwel simba imejishushia heshima kweny swala la Morrison wamefanya ujinga na ujinga huo unaweza kuwagarimu
Shangaa na wewe sasa.hivi inawezekana kucheza mechi za ligi bila mkataba????
Picha alizopiga za wapi?Ujinga gan? Inawezekana ww ndo ume comment ujinga kitu usichofaham..kesi ipo TFF ni yanga vs morison, hakuna mkataba wa simba vs morison..kama upo tumbie..
Simba hajamsajil morison..
Tumia ubongo kuchanganua mambo
Sasa na wewe unatuletea taarifa za Wikipedia? Si hata wewe unaweza kuedit hizo taarifa!Soma hiyo Wikipedia mwanzo inaonyeshwa kazaliwa 20 may1988 na mwisho inasema 25 jan 1995. so taarifa za Bm ni za kihuni
Dooh!!Wewe ni Afisa habari wa WCB kazi yako ni kuwachambua wakina Mboso, Zuchu,Lavalava na Queen Darlin huku kwenye mpira unajilazimisha tu.
Simba wasingefanya vile hukumu ingeshatoka tena kwa kumkandimiza morissonKiukwel simba imejishushia heshima kweny swala la Morrison wamefanya ujinga na ujinga huo unaweza kuwagarimu
Hapa utakuwa umekufa uwongo hadi umeandika baada ya kufaHivi nikisema Nimekufa nakuwa nimekufa kweli na wewe utaamini nimekufa kwa vile nimesema nimekufa?
Mambo ya kisheria lazima yaangaliwe
Mtani sema na pia mnajiwekea mazingira ya kutozodolewa kwa kauli zenu ikitokea mmeshindwa. 🤣Sisi tupo tunasubiri hukumu ya kesi tujimwambafay 🤣
Mtani sema na pia mnajiwekea mazingira ya kutozodolewa kwa kauli zenu ikitokea mmeshindwa. 🤣
Hata na mie nimeifikiria hiyo Mtani hii inaeza kula kwake Mchezaji mwisho wa siku wote tukakosa.Hiyo ngoma ngumu,hakuna atakayeshinda hapa ila inaweza kula kwa mchezaji mtani,huyu mchezaji tunaweza kumkosa wote
Ila navyoona wanaweza wasimalize kesi leo pia ,maana TFF nao wana madudu kibaoHata na mie nimeifikiria hiyo Mtani hii inaeza kula kwake Mchezaji mwisho wa siku wote tukakosa.
Ila liishe bana tushachoka kusubiri.
huduma yake bado mnaihitaji kwani?Hata na mie nimeifikiria hiyo Mtani hii inaeza kula kwake Mchezaji mwisho wa siku wote tukakosa.
Ila liishe bana tushachoka kusubiri.
hata shishimbi alitamka amesainiKwanza kabisa mimi ni mshabiki wa Simba nakiri hili lakini hapa sitachambua kama mshabiki wa Simba bali Kama mshabiki wa Soka.Kwa Hili sakata linaloendelea naona kabisa BM hatachomoka kwenye Hili sakata ukiangalia kwa makini utaona hili.
BM Amejitia kitanzi mwenyewe
Wakati BM alikuwa akihojiwa kwa njia ya simu na Wasafi FM kupitia kipindi Cha sports Arena hapo ikiwa hajaingia mgogoro na Yanga alikiri kabisa amesaini mkataba na Yanga na akasema kabla ya kusaini Yanga alikuwa anatakiwa na team 3 za South Africa ikiwemo team ya Ajax Capetown. Huu Ni mkataba ule wa miezi 6 baada ya Yanga kuridhika na huduma Yake wakataka kumuongezea mkataba ndipo BM akasaini kwa miaka miwili baada ya kusaini BM akaongezea akasema baada ya yeye kusaini akawa anapewa maneno kwamba team ya Yanga hailipi mishahara wachezaji wake kwa wakati,haiendeshwi kiprofessionalism ndipo akaona Bora awaombe kuvunja mkataba nao huku Kuna baadhi ya offer akawa amepokea ikiwemo ya Simba.
Ukiachana na hapo tukaona email ya BM mtandaoni akiomba Yanga kucancel extension ya mkataba.kwenye Hili unajiuliza Kama ajasaini mkataba na Yanga inakuaje kwenye email yake anaomba acancel extension ya mkataba wake?
So ukitazama kwa ujumla wake bila ushabiki unaona kabisa jamaa anajifunga mwenyewe kwa Hali kama hii unaanzaje kumuamini BM?
Kwa upande wa Simba
Uongozi wangu wa Simba ulifanya kosa kubwa Sana kumtambulisha kumsajili Morrison mapema wangesubiri kwanza kesi ya Yanga na BM iishe Kama walivyoshauriwa na "Senzo" lakini kwa akili ya uswahili wa viongozi wakaenda against. Kwa maana hii Kama Yanga itashinda lazima watafungua kesi dhidi ya Simba kumsajili mchezaji wao mwenye "mkataba".