Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

Ila navyoona wanaweza wasimalize kesi leo pia ,maana TFF nao wana madudu kibao
Aahh!! Hii ndio shida sasa Mtani.

Ila baada ya hili sakata watajitathmini na wao.
 
Wanasema mkataba wa morison umesainiwa tar 15 wakati yeye kaingia nchini tar 17 na usajili ulishafungwa ilikuwaje amechelewa kuingia na saini ikatangulia na TFF wakapokea mkataba ,yaani hata TFF kazi wanayo
Nadhani hili hata halihusiani na jambo lililopo mezani sababu la mezani ni mkataba wa two year na sio ule wa miezi sita.

Wamalize hili likishaisha anayeona hayo awasilishe naye sababu kila mmoja anaibua lwake saa hii.

Na bila umakini twiefuefu kutakuwa na kesi za Morisson tu.
 
Hapana Mtani. Sisi tunataka kumuharibia tu na ikitokea akawa ni mali yetu basi ajue atalisugua sana benchi mpaka aombe poo.
Ngoja tusubiri kamati.

Japo huyu jamaaa kawachanganya sio kidogo.

Maana natafakari ule umati ukiambiwa Morrison ni Mali yetu sijui patakuwaje pale.


Huyu jamaaa kajua kutupanda vichwa
 
Dada ili mkataba wa miaka miwili uwe halali lazima wa kwanza uwe na uhalali.
 
Wanasema mkataba wa morison umesainiwa tar 15 wakati yeye kaingia nchini tar 17 na usajili ulishafungwa ilikuwaje amechelewa kuingia na saini ikatangulia na TFF wakapokea mkataba ,yaani hata TFF kazi wanayo
Kwamba hawezi kusaini Mkataba akiwa huko alikokuwa. Kwani ni lazima Mkataba ausaini baada ya kufika!?
 
Atapigwa faini na klabu ambayo itamfanya hata anaemnunua apate ugumu, mie ni simba ila naona kama uyu Morison kuna uhuni mahali nae kachangia
Kabisa mkuu,Mie naona harufu kali sana na dalili za uhuni za huyu bwana Morrison,kwa kifupi watu wa Magharibi sio watu wa kuwaamini hata kidogo,mtu wa Magaharibi anaweza kukwambia au kukutumia e-mail kwamba yupo Los Angles kumbe yupo Mbagala rangi tatu.
 
Una uelewa kama wangu mkuu
 
Labda watashinda kwa Morrison wa kule Chunya Mbeya
 
Mie naona Mh Waziri anaehusika na michezo aende pale Tff akawafurumushe,kitu gan wanakaa nacho masaa sabini na mbili,mikataba ya wachezaji si zipo mezani kwa hao Tff,sasa n nn wanasbiria?,ni kitendo cha kusema huyu n wa huyu na huyu si wa huyu,full stop.
 
Ooohh!! Hivyo kumbe watu hawapaswi kulalama eti kwamba maamuzi yanachelewa kwa kweli.
Wanavyodai kuchelewa kufanya maamuzi ni kuwa TFF nao wanamakosa ivyo wanataks ku balance mambp
 
Senzo aliwashsuri Simba wasimtangaze Morisson ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…