Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

Acha kuidhalilosha Simba haina mashabiki wajinga kama wewe.
 
Kimsingi Morisson siyo mchezaji ni tapeli tu.
 
Yanga Hana Cha kupoteza Mkuu, Anachotaka Yanga ni kuwaaminisha UMMA kuwa yule ni mchezaji wake halali then ndio watajua wapambane nae vipi anaweza pigwa benchi Hadi akili ikamkΓ a sawa au akauzwa sehemu nyingine kwΓ  Pesa nzuri tu!
Wakati huo wakimlipa mshahara ? Hapo looser atakuwa Yanga.
 
Unajua hata wewe unaongea kishabiki, we huoni kama TFF ingekubali kua alicheza bila mkataba ilikua ni aibu kwa TFF?
Kikubwa tuache kumhukumu BM kabla ya hukumu haijatoka.
Maana Yanga wanasema walimuongezea miaka miwili na huku yeye anasema hajasaini mkataba wa miaka miwili.
Tusubiri Kamati maana wao ndo wanaletewa ushahidi na Yanga kua alisaini mkataba mwingine.
 
Kwa hiyo ni kesi mbili tena si moja zinazoendelea huko au zimeunganishwa?
Na point itabidi mpokonywe kwa kuchezesha mchezaji ambaye hakuwa na mkataba.

Mkinyang'anywa point za kuanzia January si mtaenda kucheza playoffs na Friends Ranger nyiee????[emoji2369]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawa jamaa wana uswahili mwingi.
 
Mimi Morrison nasema Email account yangu ilidukuliwa hivyo sikuwahi kuomba ku cancel contract. Vile Vile sijawahi kuwa na Oral contract na yanga kwa hiyo nilichosema kwenye redio sio mkataba. Onesheni wapi nilisaini na lini ..haya kwako mtoa maada.
pesa za watu haziliwi kirahisi hivyo.
 
Mimi Morrison nasema Email account yangu ilidukuliwa hivyo sikuwahi kuomba ku cancel contract. Vile Vile sijawahi kuwa na Oral contract na yanga kwa hiyo nilichosema kwenye redio sio mkataba. Onesheni wapi nilisaini na lini ..haya kwako mtoa maada.
Ndo utakuwa uhuni wake katika soka,A.Magharibi watu wake n makanjanja sana.
 
Hivi nikisema Nimekufa nakuwa nimekufa kweli na wewe utaamini nimekufa kwa vile nimesema nimekufa?

Mambo ya kisheria lazima yaangaliwe
Kwanini nikikutishia kuku ua hata kwa maneno nakamatwa hata kama sija kuua?
 
Ujinga gan? Inawezekana ww ndo ume comment ujinga kitu usichofaham..kesi ipo TFF ni yanga vs morison, hakuna mkataba wa simba vs morison..kama upo tumbie.

Simba hajamsajil morison. Tumia ubongo kuchanganua mambo
Simba kama taasisi makini wanawezaje kusajiri mchezaji ambaye yupo kwenye mgogoro wa kimkataba kulikua na uharaka gani? Hapo ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro
 
Mtendaji mkuu ni Senzo Hanspope atahusika vipi na usajili wakati siyo mtendaji mkuu wa simba ?
Acha kukariri maishi au wewe mwenzetu uishi bongo? Wewe unashangaa Hanspop kumsajili BM mbona ushangai makocha wa kizungu kupangiwa vikosi na viongozi?
 
Acha kukariri maishi au wewe mwenzetu uishi bongo? Wewe unashangaa Hanspop kumsajili BM mbona ushangai makocha wa kizungu kupangiwa vikosi na viongozi?
Wapi nimeshangaa makocha kupangiwa vikosi na viongozi ?

Acha kuleta ngonjera zisizo na ushahidi wowote ulimuona wapi Haspope akimsainisha mkataba Morisson? Na huyo Senzo alimshauri nani Morisson asitangazwe kuwa amesajiliwa ?
 
Yanga tutashinda Njaa tu....😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…