ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
-
- #21
Mchawi hela braza nikijikusanya kwa week nafikisha 20000 ndo hiyo ya ku spend na ya kulipia guest ndo maana inanibidi nimalize hukuhuku za uswahiliniTryna find some dough buddy and go in 5 star hotel
Hivi vigesti house vyenye bedbugs mnavipendea nn.
Km Akiingia mtu bahati mbaya akanikuta nakunya ndo naona aibuJe, chooni nako unaona aibu kuingia?
Kama unaona noma kuingia Guest na Mwanamke basi ingia Guest na MwanaumeInaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
Siyo kosa lako...una hormone nyingi za KInaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
Wewe utakuwa ni MWANAUME WA MKOANI TUInaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
We jamaa comment yako nimecheka balaaa.Bado hujabanwa na nyege wewe.
Halafu endelea kuzitunza zitahamia nyuma.
NB; kua kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa ni MWANAUME WA MKOANI TU