Naona aibu kuingia guest na mwanamke

Naona aibu kuingia guest na mwanamke

Usililojua Ni kuwa Mimi Ni katibu mwenezi wa CHAPUTA Kanda ya kusini.sina nyege sema Kuna point naziotea za mademu inanilazim niende guests na ndo km hivo Tena .najishtukia ila mwisho wa siku lazimaga niingie

pumbavu kweli wewe,hizo ny*to ndio zinakuendesha na utaendelea kuwa hivyo hivyo.
 
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
Utakuwa hauna hamu ya Kula mzigo ndio maana unaona aibu. Sasa kama unaona aibu kutongoza inakuwaje wakati unaenda kutongoza au unamuomba demu wako aje umle mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
Bado una roho wa Mungu anayekuzuia uzinzi na uasherati acha kabisa umri wa kuoa tayari tafuta oa mke!!
 
Kama unaona soo kuingia na mwanamke guest fanya kitu kimoja, tafuta kidume wa maana uingie nae halafu kitakacho tokea itakua siri yako au kama ukiona vipi unaweza ukatuletea mrejesho hapo.
😂😂😂😂😂😂
 
Kwa uoga aliokua nao hata akipanga chumba akija na demu akikuta watu nyumban atashindwa kuingia nae ndan...
Tumuache ache kwanza akishamaliza balehe atajua namna ya kutumia akili za kichwa cha chin maana hiki kikishakaimu maamuz unaweza pitisha demu sebulen mbele ya wazaz wako ukaingiza getho ukale mzigo...
Hapana chezea kichwa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah
 
Inaniwia vigumu kuingia guest na demu Kama Kuna watu kwa nje nabaki najibaraguza.kama demu na mwenyewe Ni muoga Basi inakuwa msala zaidi.nikifikiria kila mtu anaona kabisa Kitu ambacho mnaenda kufanya.hili tendo siku zote Ni la Siri Sasa ikitokea mtu aniangalie nikiwa naenda room kufanya matusi naishiwa pozi.nahisi kabisa mabadiliko Kwenye fikra zangu nahisi watu watakuwa wananong'ona pembeni kwamba "oneni waleee wanaenda ku2mbaner" ntaanza kutetemeka kwa mbali na mapigo ya moyo kwenda kasi.sielewi Kama Ni kawaida kwa kila mtu au Ni Mimi peke yangu.
umri wangu miaka 26.
Mzee baba, Oa.
Kuna watu mungu amewaumba very innocent. hata kufanya dhambi gizani anaogopa.
Shukuru hilo, tafuta mwanamke oa. fanya mengine
 
Back
Top Bottom