Naona aibu kuingia guest na mwanamke

Nipe mimi demu wako nikamzoeshe kuingia Guest, atarudi kwako akiwa mtaalam wa kuingia huko Guest
 
Hizo comments sasa mue hoi lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf idumu milele
 
Kuingia unaona aibu wakati wa show si ndo utakua unang'ata vidole?
 
Miaka 26. Unaogopa kuingia gest !!!

Ikishindikana kabisa tafuta njia mbadala zipo nyingi
1.Gongea hata geto la msela wako ,,miaka 26 hukos jamaako aliepangisha
2.Tafta gest ambayo inamlango wa kuingia bila mtu kukuona
3.Hama nyumban,, umri umeshasogea ni mda wa kujitegemea (sina uhakika kama bado unaishi kwenu,,nimejaribu kulinganisha tu na maelezo yako)

Ushauri tu
 
Sasa ivi ana miaka 27 na Usijali kuhusu kuogopa kuingia tena Gest kwan amepata kazi kweny Gest kbsa!
 
Binafsi kitu inaitwa gest kwangu duh ni ngumu .
Kuna safri nilikwama ikabidi nitafute gest aisee nikipata picha kuwa mambo ya uasherati hufanyika humo hata hamu ya kujifunika haikuwepo. Sembuse nimpeleke mwanamke yeyote humo .
 
Kwani lazima muongozane,halafu ni hizo ni zile gesti za bei poa unakuta kitaulo kimekakamaa unaweza kukisimamisha kikasimama kama bati. Starehe gharama wewe.
 
Fanya mpango sasa uwe na gheto lako umpeleke huko kama unaona aibu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kitakacho fuata.......


Daaah, watu bwana
 
Acha zinaa Ndege John.

Oa binti uwe unapiga show home.Vitandavya gesti ni vichafu.Mashuka yana manii
 
Kumbe huyu jamaa alikuwa anapost pumba hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…