Naona aibu kuingia guest na mwanamke

ukiona hivyo bado haujakomaa unaweza kuwa na umri mkubwa lakini bado akili zako hazijakomaa usilazimishe mambo mida wako ukifika utafanya tu sasa hivi endelea na mambo unayolingana nayo.
 
we ni mwanaume kweli?
 
Ukiona hivyo Kinga zako za mwili Zina hofia vitu viwili. 1.kinga Yako inahofia hofu ya aina yoyote ile 2. Kinga Yako inahofia MAGONJWA 3.Sauti za watu ni Sauti ya MUNGU Chukulia umepata UKIMWI halafu wabongo wanakuongelea ukipita bila shaka utakufa mapema acha sio SIFA kacheze ps
 
Na kwanini unaishi kijima namna hiyo enzi hizi. Yan miongozane kwemda guest kwan yamekua mazoezi ya kwaya hayo kanisani.
Kila mtu ana availl kwa time yake na style yake mnakutania location kama kila mtu ana 50 zake.
 
Bado hujabanwa na nyege wewe.

Halafu endelea kuzitunza zitahamia nyuma.

NB; kua kwanza
Ahahahahah...akibanwa mbona hataomba ushauri.
Sema ujue nimekuja gundua kwenye maisha kuna mambo ni muhimu sana kuyapitia. Yanasaidia sana japo ni ya kijinga kijinga.
Sasa uoga wa kwenda gest imagine???utaweza kweli wewe kununua condom??
 
ndege JOHN wewe bado ni mtoto kijana wangu .
 
Ahahahahah...akibanwa mbona hataomba ushauri.
Sema ujue nimekuja gundua kwenye maisha kuna mambo ni muhimu sana kuyapitia. Yanasaidia sana japo ni ya kijinga kijinga.
Sasa uoga wa kwenda gest imagine???utaweza kweli wewe kununua condom??
Hehee.. kuna siku nimeenda kununua ndomu nafika phamarcy nakutana na mwenyekiti wa Jumuiya. Ilibidi nifunge diclopa na Toff Plus nigeuze njia
 
Nenda vichochoroni, mtaroni au chakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…