Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

PSPA mabishoo ila mtaani kutakunyoosha hao unaoogopa watakucheka they won't pay your bills
Hamna degree inayoonekana ingia mtaani katafute hela otherwise utakula aibu!
 
Nimeusoma uzi wako na nimeuelewa vizuri.. lengo lako ni:

1.Kuwasema "ma graduate"kwa namna tofauti ..

(umeamua kuwaponda kwa kujivika uhusika na ku assume tabia zao za kubagua kazi huku wakiishi maisha tegemezi na umri wao ukiwa umekwenda - (kijana mdogo 26yrs))

2. Kuwaponda watu waliosoma na hawataki kufanya "vibiashara vya machinga" au kujiajiri.

Acha usanii
 
UDSM umesoma nini?
 
Hapo ndio ujue kuwa ile buku 2 inavyotafutwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wachangiaji wengi mliomponda mtoa mada, cjui mnajitoa ufahamu, hamjui jinsi gani ilivo aibu kuuza vitu barabarani kwa kuvitembeza.. especially kama mtu una degree..bcoz degree Inakujaza matumaini makubwa bila kitu

Youtube nliangalia video ya gatesnotes yani hata wale ambao hawana elimu kubwa, wanaona aibu kuuza vitu mtaani kwa kuvitembeza.

Kwa wengi, hiyo ni kazi inayodhalilisha sana utu wa mtu, heri kazi ya kudeki vyoo vya stendi, kuosha vyombo hotelini, u-waiter wa mgahawa..etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…