Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Miasha ya kibongo kama una wakukupa michongo, na kwenu ni kazatwende ni lazima ufyatue nuts kazaa kichwani ili upate njia ya kuanzia bila hivyo utafika 40 ukiwa huamini kama maisha yamekukataa.....
 
Acha ujinga ww mie nimeuza nyama za kuku miwa mafuta ya taaa Tena bila kupewa mtaji huyo Kaka yako ana huruma Sana. Ningekua mimi ningekulipia na chumba miezi mitatu nakuwekea na godoro hapo tumemaliza.
 
Degree ya Nini kwanza uliyo nayo tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…