Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Dogo!, mpwayungu hakuna watu lelemama Kama ww. Yaani unamaliza chuo then unaenda kujibanza kwa bro, Pambaffu kabisa!,, Tena unapewa kianzio Cha maisha halaf unakuja Leta unyenye jukwaani!,, Acha umama. Badili I'd name fasta na fata maelekezo ya wakubwa zako.........umenikera sana
 
Tatizo wamenunua maji hata hatujashauriana
huenda hata hiyo buku ulokuwa unapewa ilikuwa ya nauli ili utoke usikae ndani stress zikaongezeka... mkaa bure sio sawa na mtembezi huenda ukapatamo wazo la biashara/uwekezaji kisha ukaanza jitegemea
 
Dogo!, mpwayungu hakuna watu lelemama Kama ww. Yaani unamaliza chuo then unaenda kujibanza kwa bro, Pambaffu kabisa!,, Tena unapewa kianzio Cha maisha halaf unakuja Leta unyenye jukwaani!,, Acha umama. Badili I'd name fasta na fata maelekezo ya wakubwa zako.........umenikera sana
Kwani mm ni lele mama
 
Yaan wewe subiri ule degree yako!! Tena wakufukuze hapo ukazurure mitaani ulale kwemyw maboksi ndo utajua degree makaratasi!! Mm sijawah kuringia kidegree changu napambana na biashara.
 
Yaan wewe subiri ule degree yako!! Tena wakufukuze hapo ukazurure mitaani ulale kwemyw maboksi ndo utajua degree makaratasi!! Mm sijawah kuringia kidegree changu napambana na biashara.
Huna degree ndomana unaropoka
 
Huna degree ndomana unaropoka
Nina degree tena cyo degree changa kama yako hyo ya juzi, acha ubishoo uza maji au ukitaka kaa kaa tu ujishaue ukisugua sole zote za viatu zikaisha utataman kuuza hata karanga! Vijana badilikeni huu syo wakati mlioukariri kipind mnasoma, mnawaza makubwa!! Fight, hustle laa sivyo utanyooka na umri unaenda!! Ni hayo tu!! Njoo nkuuzie surual mtumba utembeze mtaani utakuja nishukuru mdogo wangu!! Thats all.
 
Mwambie kaka yako amfukuze huyo mwanamke alafu akuowe wewe ili usiuze maji mjini.
 
Kama huko Kuna kazi nzuri nishtue mkuu

utaweza kuingia machimboni
IMG_1267.jpg
 
Kunywa maji na azam hizo upunguze njaa
 
Kuna maneno yanadhihirisha kuwa hauko serious.
........na mimi ninunue ata chips na pepsi niji......

......pesa n za kaka ang....

......eti nikauze maji kwenye mataa ya.....

.......amesahau kuwa nina degree.....

Ushauri wangu kwako
siku akikupa hio 2000, toka uende sehemu tulivu. Ukakae peke ako af ujitathmini kuanzia umri ulionao hadi aina ya maisha unayoishi kwa sasa.
 
Wewe degree ulioipata hajakusaidia utamwambiaje kaka yako issue kama hiyo. Unataka kugombanishe kati ya mke na kaka yako.
Hayo mambo anafanya mtu wa shule ya msingi
 
Back
Top Bottom