Naona Barabara ya Sam Nujoma maeneo Mlimani City imeanza kufumuliwa, ni BRT phase 5?

Huu upumbavu wa kufumua fumua miundombinu alafu speed ya kutengeneza ni ndogo.. unagharimu sana Watanzania.

Nyerere road wameifumua fumua wee speed yao ndg hawamaliza, wamehamia na huko tena.. bado pale buguruni kwenda ilala.. wamefumua vumbii tupu.

Sasa Dar nzima inaviraka mavumbii foleni yaan shida.
 
Nasikia inakuja mpaka Bunju...sijui ni kweli??
Kama ndivyo hatimaye Bagamoyo road tutakuwa tumefikiwa !!!
Usiombe hawa Wachina wafike huko mtapata usumbufu wa karne.

Barabara ya Keko imekuwa finyu mnoo, barabara wanazopitishwa mwendo kkasi wa sasa zinakuwa nyembambaaa kiasi kwamba malori makubwa mawili hayawezi kwenda sambamba! Tuna tatizo pahala hatuko sawa.

Hii ya Mbagala eneo la pale JITEGEMEE Mvua ikinyesha panajaa maji panakuwa Ziwa. Hii ya kwenda Gongo la mboto nako ni kerooo.

Pale Vingunguti na Majumba sita Barabara imezibwa huu mwaka wa pili nobody cares.

Kwa sasa Wachina wanavuruga tu wanaacha kero na kwa kifupi Mji unasimama kwa kero ya foleni.
 
Huu upumbavu wa kufumua fumua miundombinu alafu speed ya kutengeneza ni ndogo.. unagharimu sana Watanzania.

Nyerere road wameifumua fumua wee speed yao ndg hawamaliza, wamehamia na huko tena.. bado pale buguruni kwenda ilala.. wamefumua vumbii tupu.

Sasa Dar nzima inaviraka mavumbii foleni yaan shida.
Hili ni tatizo kubwa, kwanini wasikamilishe na kuzindua iliyokamilka kwanza ndio wahamie kwingine?!
 
Wanafumua hizo barabara halafu kujenga spidi ya kobe. Kingine hiyo phase inaishia Boko, kwa nini wasiiongeze ikaishia Bunju?
 
Usiombe hawa Wachina wafike huko mtapata usumbufu wa karne.

Barabara ya Keko imekuwa finyu mnoo, barabara wanazopitishwa mwendo kkasi wa sasa zinakuwa nyembambaaa kiasi kwamba malori makubwa mawili hayawezi kwenda sambamba! Tuna tatizo pahala hatuko sawa.

Hii ya Mbagala eneo la pale JITEGEMEE Mvua ikinyesha panajaa maji panakuwa Ziwa. Hii ya kwenda Gongo la mboto nako ni kerooo.

Pale Vingunguti na Majumba sita Barabara imezibwa huu mwaka wa pili nobody cares.

Kwa sasa Wachina wanavuruga tu wanaacha kero na kwa kifupi Mji unasimama kwa kero ya foleni.
Aisee...basi watuache na hii hii!! Maana hivi tu ilivyo kuna foleni....plus matengenezo si itakuwa tafrani.
 
Hili ni tatizo kubwa, kwanini wasikamilishe na kuzindua iliyokamilka kwanza ndio wahamie kwingine?!
Wanatesa sana watu, wafanyabiashara wa karibu nan hiyo njia wanapata tabu.. lile vumbi Mzee acha tu. Pia wasafiri hasa wa Bodaboda mpk nawaonea huruma unafika kama vile ulikuw upo ktk mshine ya kusaga unga.
 
kimsingi mama nchi ilishamshinda siku nyingiiiiii haiwezdkani mbagala njia imekamilika na magari hamna wao wanahangaika kujenga nyingine yaani upigaji juu ya upigaji
 
Huu upumbavu wa kufumua fumua miundombinu alafu speed ya kutengeneza ni ndogo.. unagharimu sana Watanzania.

Nyerere road wameifumua fumua wee speed yao ndg hawamaliza, wamehamia na huko tena.. bado pale buguruni kwenda ilala.. wamefumua vumbii tupu.

Sasa Dar nzima inaviraka mavumbii foleni yaan shida.
Ni jambo linalosikitisha sana kweli kabisa ilibidi wamalize barabara moja kwanza. Hiyo ya Airport ni kero mno kuanzia mnazi mmoja mataa ya co cabs mpaka unapita uwanja wa ndege wamefumua kama walikuwa hawana uwezo wangejenga kwa hatua kuliko kufumua zaidi ya km 10. Fikiria juzi kati ilinyesha mvua ilikuwa ni kero maji yalijaa hakuna pakupita na ndiyo wageni wanaokuja wanapita hiyo njia ni aibu na fedhea. Njoo changombe, Kipande cha mzunguko wa kigogo kama unakuja msimbazi centre, Ilala kwenda Buguruni kwanini wasimalize huko mkwanza? Na tunakoelekea ni msimu wa mvua hawaoni kama ni kero wanakuja tengeneza?
 
Back
Top Bottom