MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Bila picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alaumiwe kwa kutuletea rais kama huyuHaya Mambo yalikua ya Magufuli bwana Aarrrggghhh
Wapuuzi tu, njia mbadala zote zimefungwa wanaingiza gharama sana kwa Watanzania. Maana inabid mtu aunge gari au matumiz makubwa ya mafuta. Pia kunachelewesha watu kwenda ktk shughul za kiuchumi.Ni jambo linalosikitisha sana kweli kabisa ilibidi wamalize barabara moja kwanza. Hiyo ya Airport ni kero mno kuanzia mnazi mmoja mataa ya co cabs mpaka unapita uwanja wa ndege wamefumua kama walikuwa hawana uwezo wangejenga kwa hatua kuliko kufumua zaidi ya km 10. Fikiria juzi kati ilinyesha mvua ilikuwa ni kero maji yalijaa hakuna pakupita na ndiyo wageni wanaokuja wanapita hiyo njia ni aibu na fedhea. Njoo changombe, Kipande cha mzunguko wa kigogo kama unakuja msimbazi centre, Ilala kwenda Buguruni kwanini wasimalize huko mkwanza? Na tunakoelekea ni msimu wa mvua hawaoni kama ni kero wanakuja tengeneza?
Inashangaza sana, mradi wa Mbagala ungeanza, maana upo tayariWapuuzi tu, njia mbadala zote zimefungwa wanaingiza gharama sana kwa Watanzania. Maana inabid mtu aunge gari au matumiz makubwa ya mafuta. Pia kunachelewesha watu kwenda ktk shughul za kiuchumi.
Pia wafanyabiashara hasa bodaboda na wauza maduka wanathirika sana na hili vumbi.. imagine unauza nguo alaf nje wamechimbua vumbi la kutosha pia entrance imefungwa hakuna mteja anaeweza ku access kiurahisi hapo dukan kwako. Na hakuna dalili za kukamilika haraka, kodi unayolipa ipo pale pale.
Mie nashauri wangemalizana na hiyo ya Airport mfano pale Njia panda ya segerea gari si chini ya elf 5 kwa siku inabidi zizunguke umbali wa kilometer 5 ili kupata access ya kwenda Tabata. Just imagine ni kiasi gani cha mafuta kinateketea hapo.
Mpaka ije ikamilike mtalia na kusaga menoNasikia inakuja mpaka Bunju...sijui ni kweli??
Kama ndivyo hatimaye Bagamoyo road tutakuwa tumefikiwa !!!
Bunju tutawafikia 2057Wanafumua hizo barabara halafu kujenga spidi ya kobe. Kingine hiyo phase inaishia Boko, kwa nini wasiiongeze ikaishia Bunju?
Wazindue mradi wa Mbagala