FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Magari ndio shida, hayo yaliyopo hayatoshiKama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja.
Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii.
Sikupiga picha.
Shida miradi inakamilika ila hawaifungui, wanasubiri uchaguzi ukaribie waomee kura, ni uhuniNasikia inakuja mpaka Bunju...sijui ni kweli??
Kama ndivyo hatimaye Bagamoyo road tutakuwa tumefikiwa !!!
Kwani si yanauzwa, hata ukikopa hayo mabasi biashara ni guaranteed maana huna mshindani, unalipa mkopo wa mabasi kwa uhakikaMagari ndio shida, hayo yaliyopo hayatoshi
Yeah, hapo ni tatizo...bara bara imeisha lakini haifunguliwi...wapo ki maslahi zaidi.Shida miradi inakamilika ila hawaifungui, wanasubiri uchaguzi ukaribie waomee kura, ni uhuni
Usiombe hawa Wachina wafike huko mtapata usumbufu wa karne.Nasikia inakuja mpaka Bunju...sijui ni kweli??
Kama ndivyo hatimaye Bagamoyo road tutakuwa tumefikiwa !!!
Hili ni tatizo kubwa, kwanini wasikamilishe na kuzindua iliyokamilka kwanza ndio wahamie kwingine?!Huu upumbavu wa kufumua fumua miundombinu alafu speed ya kutengeneza ni ndogo.. unagharimu sana Watanzania.
Nyerere road wameifumua fumua wee speed yao ndg hawamaliza, wamehamia na huko tena.. bado pale buguruni kwenda ilala.. wamefumua vumbii tupu.
Sasa Dar nzima inaviraka mavumbii foleni yaan shida.
Ndio wangekopa sijui shida nn, maana unaweza kukaa kituoni nusu saa usipate Basi. Halafu ndo wayagawe na mbagala!Kwani si yanauzwa, hata ukikopa hayo mabasi biashara ni guaranteed maana huna mshindani, unalipa mkopo wa mabasi kwa uhakika
Aisee...basi watuache na hii hii!! Maana hivi tu ilivyo kuna foleni....plus matengenezo si itakuwa tafrani.Usiombe hawa Wachina wafike huko mtapata usumbufu wa karne.
Barabara ya Keko imekuwa finyu mnoo, barabara wanazopitishwa mwendo kkasi wa sasa zinakuwa nyembambaaa kiasi kwamba malori makubwa mawili hayawezi kwenda sambamba! Tuna tatizo pahala hatuko sawa.
Hii ya Mbagala eneo la pale JITEGEMEE Mvua ikinyesha panajaa maji panakuwa Ziwa. Hii ya kwenda Gongo la mboto nako ni kerooo.
Pale Vingunguti na Majumba sita Barabara imezibwa huu mwaka wa pili nobody cares.
Kwa sasa Wachina wanavuruga tu wanaacha kero na kwa kifupi Mji unasimama kwa kero ya foleni.
Wanatesa sana watu, wafanyabiashara wa karibu nan hiyo njia wanapata tabu.. lile vumbi Mzee acha tu. Pia wasafiri hasa wa Bodaboda mpk nawaonea huruma unafika kama vile ulikuw upo ktk mshine ya kusaga unga.Hili ni tatizo kubwa, kwanini wasikamilishe na kuzindua iliyokamilka kwanza ndio wahamie kwingine?!
Unahisi itakuwa ni nini?Sidhani kama itakuwa BRT hiyo, ule mradi wa BRT nadhani utatoka Tegeta (Dawasa) kuelekea Morocco.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni zile vurugu zao wanazofanya mara kwa mara kufumua barabara halafu hawazitengenezi kwa wakati, inaweza kuwa wanaweka mabomba chini, au ukarabati wa kawaida wa barabara.Unahisi itakuwa ni nini?
Kwa kweli hakuna kitu kinawakuwaga kero kubwa sana km ujenzi wa hizi BRT roads, nakumbuka Morogoro road ilivyosumbua miaka ile, mpaka ilikuwa ni shida kwa wagonjwa wa dharura kufikishwa hospitali.Usiombe hawa Wachina wafike huko mtapata usumbufu wa karne.
Ni jambo linalosikitisha sana kweli kabisa ilibidi wamalize barabara moja kwanza. Hiyo ya Airport ni kero mno kuanzia mnazi mmoja mataa ya co cabs mpaka unapita uwanja wa ndege wamefumua kama walikuwa hawana uwezo wangejenga kwa hatua kuliko kufumua zaidi ya km 10. Fikiria juzi kati ilinyesha mvua ilikuwa ni kero maji yalijaa hakuna pakupita na ndiyo wageni wanaokuja wanapita hiyo njia ni aibu na fedhea. Njoo changombe, Kipande cha mzunguko wa kigogo kama unakuja msimbazi centre, Ilala kwenda Buguruni kwanini wasimalize huko mkwanza? Na tunakoelekea ni msimu wa mvua hawaoni kama ni kero wanakuja tengeneza?Huu upumbavu wa kufumua fumua miundombinu alafu speed ya kutengeneza ni ndogo.. unagharimu sana Watanzania.
Nyerere road wameifumua fumua wee speed yao ndg hawamaliza, wamehamia na huko tena.. bado pale buguruni kwenda ilala.. wamefumua vumbii tupu.
Sasa Dar nzima inaviraka mavumbii foleni yaan shida.