Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya.
Chadema msitishike kabisa mnaenda kushinda mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso wa dunia.
CCM kupitia mwenyekiti wao wamejitengenezea maadui wengi mno na ndio maana wanatumia nguvu nyingi Sana kumpamba na propaganda za kinafiki.
Imagine bila kutafuna maneno bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilichowafanyia watu hasa walioajiriwa serikalini wakati huohuo hawajaongezwa mishahara toka awamu ya tano ishike dola unadhani watu Hawa watakuwa upande gani?
CHADEMA anzeni na agenda hizi.:
1. Kufuta makato ya HELSB au kupunguza kwa asilimia kubwa.
2. Kupandisha mishahara ya watumishi hawa Wana hasira iliyojificha sana hawaionyeshi.
3. Amani demokrasia na usalama
Chadema itaisimamisha Afrika.