Endeleeni kujitekenya wenyewe kama ada. Tanzania haiwezikuwa chini ya utawala wa kimwinyi....wa kung'ang'ania madaraka, iwe liwalo!.Chadema inavyokwenda kuishangaza dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kujitekenya wenyewe kama ada. Tanzania haiwezikuwa chini ya utawala wa kimwinyi....wa kung'ang'ania madaraka, iwe liwalo!.Chadema inavyokwenda kuishangaza dunia.
Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya.
Chadema msitishike kabisa mnaenda kushindana mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso wa dunia.
CCM kupitia mwenyekiti wao wamejitengenezea maadui wengi mno na ndio maana wanatumia nguvu nyingi Sana kumpamba na propaganda za kinafiki.
Imagine bila kutafuna maneno bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilichowafanyia watu hasa walioajiriwa serikalini wakati huohuo hawajaongezwa mishahara toka awamu ya tano ishike dola unadhani watu Hawa watakuwa upande gani?
Chadema anzeni na agenda hizi.:
1. Kufuta makato ya HELSB au kupunguza kea asilimia kubwa.
2. Kupandisha mishahara ya watumishi hawa Wana hasira iliyojificha sana hawaionyeshi.
3. Amani demokrasia na usalama
Chadema itaisimamisha Afrika.
Chadema inavyokwenda kuishangaza dunia.
Wataalamu wa sayansi ya jamii wamethibitisha kuwa ushindi hautokani na juhudi za mshindani kumshinda mshindani wake bali kujishinda mwenyewe kwa kufanya vizuri, vizuri na vizuri zaidi.Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya.
Chadema msitishike kabisa mnaenda kushindana mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso wa dunia.
CCM kupitia mwenyekiti wao wamejitengenezea maadui wengi mno na ndio maana wanatumia nguvu nyingi Sana kumpamba na propaganda za kinafiki.
Imagine bila kutafuna maneno bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilichowafanyia watu hasa walioajiriwa serikalini wakati huohuo hawajaongezwa mishahara toka awamu ya tano ishike dola unadhani watu Hawa watakuwa upande gani?
Chadema anzeni na agenda hizi.:
1. Kufuta makato ya HELSB au kupunguza kea asilimia kubwa.
2. Kupandisha mishahara ya watumishi hawa Wana hasira iliyojificha sana hawaionyeshi.
3. Amani demokrasia na usalama
Chadema itaisimamisha Afrika.
Hakuna kuogopa bhviita ni bhviita muraa rasima ccm waondoke muraaaKwa Tume ipi?
Aisee.. Kuwa kichaa si lazima uikote makopo
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Ccm ni weupe kama ukungusuperbug,
Sasa Chadema mnaenda ikulu kwa kuwa mtashinda urais wa JMT Hvyo acheni kulialia vumilieni ikifika October 2020 mnachukua nchi na mtaunda tume huru na kutimiza malengo yenu. Hongereni Sana kwa kuwa mtaishinda CCM mchana kwepeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu CCM na mgombea wao mh. Rais Magufuli wanaenda kuangushwa na chadema kupitia mgombea anayesubiriwa kutia Nia baada ya tangazo la katibu mkuu Mh. Mnyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Agenda zako nyepesi sana sidhani kama watakubaliana na wewe
Tuhamasishane,hizi asilimia za kinadharia hazitawasalimisha.Iwapo watumishi ni 100,000 kati ya wapiga kura na kila moja akawa na waungaji 10 watakuwa na kura ngapi?Je, iwapo kila anayemwamini mtumishi akihamasisha wapiga kura hata wawili dhidi ya ccm kutatokea nini?Usisahau kuwa waalimu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kura,uchaguzi huu sidhani kama watawasaidia kupora kura.Wamelimia meno kwa miaka 5,wamewachoka.
Msipende kuwafanya Watanzania wenzenu wajinga.Tunaenda kuwatupilia mbali na tunaikomboa nchi yetu dhidi ya dhuluma ya miaka 60.Inatosha.
Watashiriki uchaguzi wakiwa nusu uchi, kutokana na tuhuma wanazozitoa wenyewe? Kwanza wajisafishe kwa tuhuma zao hizo za ndani kwa ndani:
• uongozi dhaifu;
• upendeleo katika uteuzi wa wagombea;
• chuki ya wenyewe kwa wenyewe;
• matumizi ya mali za chama kwa mambo binafsi;
• kutokuwa na Sera mbadala za maendeleo ya Taifa hili nk.
Hayo yote ni dhahiri kwa jamii, ambayo ndiyo uamua nani awaongoze kwa kura na siyo Tume ya Uchaguzi. Wapinzani kusingizia Tume ni kama kuhamisha goli, kwani si kila mtumishi wa Tume ni mwanachama, mfuasi au shabiki wa CCM, Chama Tawala.
Hizi busara za mvuta bangi ni tatizo
Jiandalie kitanzi au sumu ya kunguni maana hutoamini kitakacho wakutaEndeleeni kujitekenya wenyewe kama ada. Tanzania haiwezikuwa chini ya utawala wa kimwinyi....wa kung'ang'ania madaraka, iwe liwalo!.
Lazima utakuja kuyakana maneno yako siku mh Lissu atakapo kuwa anakula kiapoWataalamu wa sayansi ya jamii wamethibitisha kuwa ushindi hautokani na juhudi za mshindani kumshinda mshindani wake bali kujishinda mwenyewe kwa kufanya vizuri, vizuri na vizuri zaidi.
Kwa ukweli huo, CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, lengo lisiwe kuishinda CCM, bali ni jinsi gani wanaweza kushinda kwa kurekebisha makosa na mapungufu yao ya ndani kwa ndani, kuelekea kila uchaguzi. Kwa maana ya namna na jinsi ya kuwaaminisha wapiga kura.
Hizi mbwembwe za maneno ya mitandaoni, kujimwambafai na kusingizia Tume ya Uchaguzi, kamwe haziwafikisha kwenye malengo yao ya kisiasa.
Kwa miaka hii ya Utawala wa Rais Magufuli, Serikali imeweza kutekeleza kwa zaidi ya 75% ya ahadi zake zilizomo na zisizokuwemo kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2015. Viongozi wa CCM, kila ngazi, wamehimizwa kufuatilia utendaji wa Serikali katika maeneo yao kulingana na Ilani ya Uchaguzi na ahadi za wagombea wao waliopewa dhamana na wananchi.
Je, upinzani umefanya nini cha kuaminiwa na wapiga kura zaidi ya kuikejeli Serikali na madai ya viongozi wao yenye maslahi binafsi km Tume huru ya Uchaguzi ili waingie madarakani?
Lakini ndio wenye influence kwa Jamii wangapi wapo nyuma yaosuperbug,
Unaota mchana kweupe wewe. Waajiriwa wa serikali na wenye mikopo ya bodi hawafiki hata 20% ya wapigakura wote.