Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Hio hioKwa Tume ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio hioKwa Tume ipi?
Panapo nguvu na umoja wa wengi tume,dola ni udongo tu,Kwa mijizi hii na tume hiii, miaka yote ya uchaguzi CCM ni weupe...wepesi,sema upinzani nao....daaah !unaendaje uchaguzi wakati fika ukijua refarii ni CCM? Anapanga tu umfunge ngapi ila pia akupige ngapi za kutosha!
Ni Mateka wanaogopa kufutwa kaziWatashiriki uchaguzi wakiwa nusu uchi, kutokana na tuhuma wanazozitoa wenyewe? Kwanza wajisafishe kwa tuhuma zao hizo za ndani kwa ndani:
• uongozi dhaifu;
• upendeleo katika uteuzi wa wagombea;
• chuki ya wenyewe kwa wenyewe;
• matumizi ya mali za chama kwa mambo binafsi;
• kutokuwa na Sera mbadala za maendeleo ya Taifa hili nk.
Hayo yote ni dhahiri kwa jamii, ambayo ndiyo uamua nani awaongoze kwa kura na siyo Tume ya Uchaguzi. Wapinzani kusingizia Tume ni kama kuhamisha goli, kwani si kila mtumishi wa Tume ni mwanachama, mfuasi au shabiki wa CCM, Chama Tawala.
Je, hayo maneno ni uthibitisho ya kuwa pia na wewe ni mateka?Ni Mateka wanaogopa kufutwa kazi
Hizi ni dhihaka dhidi ya mkuu wa malaika anaependa kusifiwa na akati anafanya kazi ya shetaniAisee.. Kuwa kichaa si lazima uikote makopo
Je, hayo maneno ni uthibitisho ya kuwa pia na wewe ni mateka?
Usoni kwangu inakuja picha ya polisi kupiga magoti mbele ya wananchi vituoni mwao!
Hongereni chadema October siyo mbali mtakuwa jumba jeupe. Sasa watanzania tunasubiri mtia Nia wa chadema kuwa rais October.Hata ukijibaraguza ila ukweli utabakia hapo hapo kuwa cdm inachukua
Dunia gani?Chadema inavyokwenda kuishangaza dunia.
Kumbe Lissu nda anakuwa rais wa JMT October. Hongera rais Lissu hapo October.Lazima utakuja kuyakana maneno yako siku mh Lissu atakapo kuwa anakula kiapo
You sound like my grandmaTuhamasishane,hizi asilimia za kinadharia hazitawasalimisha.Iwapo watumishi ni 100,000 kati ya wapiga kura na kila moja akawa na waungaji 10 watakuwa na kura ngapi?Je, iwapo kila anayemwamini mtumishi akihamasisha wapiga kura hata wawili dhidi ya ccm kutatokea nini?Usisahau kuwa waalimu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kura,uchaguzi huu sidhani kama watawasaidia kupora kura.Wamelimia meno kwa miaka 5,wamewachoka.
Msipende kuwafanya Watanzania wenzenu wajinga.Tunaenda kuwatupilia mbali na tunaikomboa nchi yetu dhidi ya dhuluma ya miaka 60.Inatosha.