Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikufundishe hesabu maana naonasuperbug,
Unaota mchana kweupe wewe. Waajiriwa wa serikali na wenye mikopo ya bodi hawafiki hata 20% ya wapigakura wote.
Mkuu mbona ipo sana kwani rais Wa Malawi si alikua dola why hakushindaDola mkuu, kuishinda dola sio rahisi.
Mkuu uchaguzi Wa mwaka huu ni mtamIli ujue kuwa ccm ina hali ngumu sasa hivi huku halmashamashauri wameitwa watendaji na wataalamu ngazi ya kata na vijiji wamepigwa biti la kutoshadadia upinzani in any way na kupewa mbinu za kuhakikisha chama kinabaki madarakani.
Wakuu wa idara na vitengo pamoja na maafisa wengine wa makao makuu ya wilaya wameitwa kwenye kikao elekezi kuhusu uchaguzi na namna ya kuilinda ccm ibaki madarakani.
Nami nikiwamo ndani yake nilishangaa hiki chama kinachotangaza kupendwa kila siku mbona kina haha kiasi hiki?
Watumishi tumedanganywa kwamba ccm ikitoka madarakani na ajira zetu zitakuwa matatani kwani vyama vingine haviaminiki kulinda ajira zetu na ni ccm tu ndiyo inaweza kutulinda, sasa nikawaza inamaana vyama pinzani vikiingia shule, hosp., mahakama, vituo vya polisi vitafutwa? Utagundua hawa jamaa hakika walishatufanya misukule.
Uhalisia ni kwamba sura za watumishi zimekunjamana sana moyoni ukizingatia wengi ni vijana wanaokatwa 15% na HESLB kwenye mishahara yao isiyokuwa na aina yoyote ya ongezeko.
Vilio ktika nchi hii ni vingi;
1. Wakulima wa mazao ya biashara waliowengi wamedhulumiwa bila huruma ktk awamu hii
2. Ajira imegoma kabisa utadhani tumekumbwa na gharika
3. Ukatili ktk awamu hii ni ibada kuanzia MKIRU hadi kanda ya ziwa hasa ziwa victoria
Cha ajabu zaidi ni kwamba vyama vikuu vya upinzani vimebanwa kiasi kwamba ikitokea kiongozi akasimama na kusalimia wapiga kura wake tayari ana kesi ya kujibu mahakamani, kumeundwa sheria nyingi za ajabu utadhani wanaozitunga hawana vichwa lakini kwa lengo la kuwabana wapinzani, pamoja na vibano hivi bado watawala hawana uhakika kama watapita ktk uchaguzi huu kiasi cha kuanza kutafuta huruma y watumishi walioawtesa kwa muda wote kwa lugha za kejeli n.k
Ili ujue kuwa ccm ina hali ngumu sasa hivi huku halmashamashauri wameitwa watendaji na wataalamu ngazi ya kata na vijiji wamepigwa biti la kutoshadadia upinzani in any way na kupewa mbinu za kuhakikisha chama kinabaki madarakani.
Wakuu wa idara na vitengo pamoja na maafisa wengine wa makao makuu ya wilaya wameitwa kwenye kikao elekezi kuhusu uchaguzi na namna ya kuilinda ccm ibaki madarakani.
Nami nikiwamo ndani yake nilishangaa hiki chama kinachotangaza kupendwa kila siku mbona kina haha kiasi hiki?
Watumishi tumedanganywa kwamba ccm ikitoka madarakani na ajira zetu zitakuwa matatani kwani vyama vingine haviaminiki kulinda ajira zetu na ni ccm tu ndiyo inaweza kutulinda, sasa nikawaza inamaana vyama pinzani vikiingia shule, hosp., mahakama, vituo vya polisi vitafutwa? Utagundua hawa jamaa hakika walishatufanya misukule.
Uhalisia ni kwamba sura za watumishi zimekunjamana sana moyoni ukizingatia wengi ni vijana wanaokatwa 15% na HESLB kwenye mishahara yao isiyokuwa na aina yoyote ya ongezeko.
Vilio ktika nchi hii ni vingi;
1. Wakulima wa mazao ya biashara waliowengi wamedhulumiwa bila huruma ktk awamu hii
2. Ajira imegoma kabisa utadhani tumekumbwa na gharika
3. Ukatili ktk awamu hii ni ibada kuanzia MKIRU hadi kanda ya ziwa hasa ziwa victoria
Cha ajabu zaidi ni kwamba vyama vikuu vya upinzani vimebanwa kiasi kwamba ikitokea kiongozi akasimama na kusalimia wapiga kura wake tayari ana kesi ya kujibu mahakamani, kumeundwa sheria nyingi za ajabu utadhani wanaozitunga hawana vichwa lakini kwa lengo la kuwabana wapinzani, pamoja na vibano hivi bado watawala hawana uhakika kama watapita ktk uchaguzi huu kiasi cha kuanza kutafuta huruma y watumishi walioawtesa kwa muda wote kwa lugha za kejeli n.k
Hongereni chadema October siyo mbali mtakuwa jumba jeupe. Sasa watanzania tunasubiri mtia Nia wa chadema kuwa rais October.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia gani?
Dunia ya ufipa.Utajaza wewe
Dunia ya ufipa.
Muwache aendelee kuota mchana kweupeKweli hawazidi 20% ila ongeza 20% ya wake zao na 20% ya jamaa zao jumla ni ngapi?
Hata Sudan [emoji1223] walikuwa wanatumia vyombo vyoote ulivyo vitaja lkn wananchi walipo amua walifanikishaHIYO NI RAMLI CHONGANISHI
1. Wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM
2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani
3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM.
Hivi corona nayo ipo kwenye orodha ya magonjwa Mtambuka?Dunia ya ufipa.
Sijui.Hivi corona nayo ipo kwenye orodha ya magonjwa Mtambuka?
Zigii ellewa kuwa wanawake wa Tz 98% ni ccm. Kuna rafiki yangu aliwahi kukataa kumpa mama yake mzazi maahitaji na kumwelekeza shida zake zote apeleke kwenye ofisi yaa tawi ya ccm baada ya mama huyo kumpigia kura ya uraisi mgombea wa ccm wakati mwanaye aliimwagiza ampigie lowasa. Chezea kina mama weye!.Kweli hawazidi 20% ila ongeza 20% ya wake zao na 20% ya jamaa zao jumla ni ngapi?
Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya.
Chadema msitishike kabisa mnaenda kushindana mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso wa dunia.
CCM kupitia mwenyekiti wao wamejitengenezea maadui wengi mno na ndio maana wanatumia nguvu nyingi Sana kumpamba na propaganda za kinafiki.
Imagine bila kutafuna maneno bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilichowafanyia watu hasa walioajiriwa serikalini wakati huohuo hawajaongezwa mishahara toka awamu ya tano ishike dola unadhani watu Hawa watakuwa upande gani?
CHADEMA anzeni na agenda hizi.:
1. Kufuta makato ya HELSB au kupunguza kea asilimia kubwa.
2. Kupandisha mishahara ya watumishi hawa Wana hasira iliyojificha sana hawaionyeshi.
3. Amani demokrasia na usalama
Chadema itaisimamisha Afrika.