Watachofanya ni kuongeza fake ….. kiongoz mmoja mgombea ameshadokeza hiloSheria mama ya taifa letu inasemaje?
Sheria ya uchaguzi inasemaje?
Maana kuna dalili ya 30% ya wapiga kura kujitokeza.
Watachota vipi wakati kura zinapigwa na kuhesabiwa manual- wanaweza kuiba ila siyo kwa njia uliyoisema wewe! Usizungumzie tena hayo mawazoNIDA
Passport
Leseni ya Udereva
Mifumo yote inasomana. Data zitachotwa hata wajitokeze Abdul na Mafyele tu kupiga kura. Data zitaonyesha kuwa asilimia 92 ya waliojiandikisha wamejitokeza kupiga kura na Samia kapata asilimia 98% ya kura zote zilizopita.
Mungu Ibariki Tanzania 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Sawa mkuu. Wewe ukisema ni nani tena atapinga katika hii universe? 😳Watachota vipi wakati kura zinapigwa na kuhesabiwa manual- wanaweza kuiba ila siyo kwa njia uliyoisema wewe! Usizungumzie tena hayo mawazo
Yako sawa?