Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

Bwashe, Lissu ametoa tusi gani? Mimi naona anatoa hoja zinazowaondoa relini!

QUOTE="Lu-ma-ga, post: 36665686, member: 26656"]
Mlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa. Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM. Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.
[/QUOTE]
 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.

Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao😂😂😂

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima.

KALAGHABAHO!!

Polepole amepoteza mwelekeo!!!! Ameishiwa zile dawa zake!!
 
Mzee wangu Makamba kasemaje kwani! Imenipita hii, mambo mengi sana!
Mzee Makamba amewataka wanaccm kujibu hoja za Lissu. Akatolea mfano hoja ya uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa Kijiji cha Chato.

Makamba anasema majibu ya hoja hii ni kwamba Kijijini Chato kuna waanzania kwahiyo hakuna shida international airport kujengwa kwenye Kijiji hicho.
 
Mzee Makamba amewataka wanaccm kujibu hoja za Lisu. Akatolea mfano hoja ya uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa Kijiji cha Chato.

Makamba anasema majibu ya hoja hii ni kwamba Kijijini Chato kuna waanzania kwahiyo hakuna shida international airport kujengwa kwenye Kijiji hicho.
Mzee mjanja huyo ndio anakoleza habari ya ujenzi Wa huo uwanja. Jiulize kwann azungumzie uwanja tu.
 
Mkuu Salary Slip, amini unahitaji kujitathmini kwani unakoelekea hukujui. Iweje wewe tu ndiye uwe nwenye kujua kila kitu, kama huyo mgombea wako wa Urais, nwenye kujidai anajua sheria, anatetea Katiba huku akivunja kwa nakusudi.

Kama majibu ya hao uliowataja hayakutoshelezi, sikia mengine haya ili uondokane na Vioja badala ya Hoja, maana umemtaja kwa kuficha hoja zake.

 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Je, unaweza kunambia shamsi vua nahodha alipo maana Leo hakuoneka katika ufunguzi wa fiesta kibanda maiti
 
mlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa.Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea.Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM.Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa
Mbona ile hoja ya kuwaweka mashehe ndani hamuijibu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
CCM ni chama changu na nakipenda sana tu. Ingekuwa kuna uhuru wa watu kutema yaliyo moyoni ama uhuru wa kuamua atakavyo mtu...basi tungepoteza mapema sana.

Serikali ya CCM kuna mengi mazuri imefanya, ILA ukweli ni kwamba maisha ya wengi yameharibiwa kwa makusudi kabisa bila kuwa na makosa yeyote. Watu wamepoteza mali na pesa zao, wamenyamaza tu kwa sababu hawana namna wanasubiri Mola atende kwa nafasi yake.

Mungu si Athumani, hakika atafanya. Tarehe 28/10/2020 inaonekana ni karibu sana, ila ni mbali sana maana hakuna ajuaye litakalojiri dakika 30 zijazo!!!!

HAKI HUINUA TAIFA, TUME HURU NA UCHAGUZI WA UHURU NA HAKI NI MSINGI UMOJA WA KITAIFA NA UIMARA WA DEMOKRASIA
 
Dalili ni hizi tatu miongoni mwa nyinginezo.

1. Speech ya Makamba kumjibu Lissu
Huyu mzee katoka mafichoni na kuja kujaribu kujibu hoja za Lissu!

Ni hivi: Mzee kaona jahazi linazama, kwahiyo akaona ni bora ajitokeze kuokoa jahazi ingawa kazi ya kujibu hoja za Lissu walipewa UVCCM kwa maagizo ya Bashiru, ila bila shaka mzee amegundua UVCCM pekee hawana uwezo wa kujibu hoja za Lissu hivyo kawataka na wazee wa chama wajitokeze kusaidia...
Naona CCM wakechelewa! Wanatakiwa waminyorosheni hasa huyu mpuuzi Tundu Lissu.

Heri naona sasa mambo shegga
 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao😂😂😂

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Kama una mwanachama hao kwann ufanye kampeni? Sio kila mwanachama ataweza kukupigia kura mgombea WA Chama chake,sio hivyo
 
Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa

Andika matusi aliyotukanwa Magufuli,, acha siasa za majitaka..

Mimi sina chama lakini nasikia Lumumba mnasema matusi matusi ila hamsemi hata mfano,, ukisdinwa kusema weka video tuone hayo matusi
 
CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.

Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.

CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.

Zaidi ya hapo hakuna.
Ukimsikiliza Kheri James utagundua hofu yake kubwa iko katika Chadema kulinda kura zao baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom