Mnajitahidi sana kutengeneza namba ya wanachama wenu ili kujenga uhalali wa ushindi. Eti 17 milioni, sasa kama mna idadi hiyo ya wanachama, na kwa muujibu wa tume wapiga kura waliojiandikisha ni 29 milioni.Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....
KALAGHABAHO!!
Hii ina maana tayari ccm kwa idadi ya wanachama wake hao 17 milioni ushindi ni wetu, sasa kwanini tumepaniki namna hii wakati ushindi uko dhahiri kwa idadi hii ya wanachama wetu?