Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

Jiwe itakua huko MAFICHONI anajifunza KUSHAWISHI wapiga kura, maana amezoea KUAMURU tu kwa miaka yote ya utawala wake wa MABAVU.
 
Naona CCM wakechelewa! Wanatakiwa waminyorosheni hasa huyu mpuuzi Tundu Lissu.

Heri naona sasa mambo shegga

Wapuuzi ninyi, tunaenda kuikata hiyo MIRIJA ya elfu saba saba za kodi zetu mnazolipwa kila siku kwa kazi ya kuongea utopolo tu humu.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 2
Watu Aina Ya Tundu Lissu Huwa Wanakuongezea FIKRA TUNDUIZI na kukufinyanga kuiangalia DUNIA Tofauti na Ulivyoizoea ama kujizoeza.

Ukitaka Kuua THINK TANK ndani ya CHAMA basi dhibiti PARTY CAUCUS.

CCM ni chama kinachopitia Mengi na Lazima Kiendelee Kupitia MENGI ili kiwe BORA Tena na Tena.

Dunia inakwenda Kasi Sana..

Mungu Mwenyezi atuweke TUFIKE OKTOBA 28,aaamin
 
Mzee wangu Makamba kasemaje kwani! Imenipita hii.. mambo mengi sana!
Eti kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake Chato ni sahihi!

Akaendelea kusema Mzee Makamba, kuwa eti amejenga uwanja huo kwa ajili ya usalama wake Rais wetu na kwa kuwa kaujenga ndani ya nchi ya Tanzania ni sahihi!

Lakini kasahau kujibu hoja za Lissu, je marais waliomtangulia ni kwanini nao "hawakujipendelea" na kujenga viwanja hivyo vya ndege kwao?

Hakika huyu Tundu Lissu ni kiboko, kwa kuwa anawapeleka mputa mputa hawa jamaa wa kijani, hadi wameanza kupoteana hivi sasa!

Ombi langu kwa sasa kwa Tundu Lissu, endelea kutoa hivyo vigongo, ili kuwafumbua macho watanzania, ili wafahamu udhalimu mkubwa wanaofanyiwa na serikali hii ya awamu ya tano, ambayo wenyewe wanadai inaongozwa na kiongozi mzalendo, mnyenyekevu na mtu mwenye hofu ya Mungu, John Pombe Magufuli!
 
mlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa.Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea.Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM.Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa
Lu-ma-ga
Hebu nitajie angalau tusi moja tu aliloliporomosha Tundu Lissu kwenye mikutano yake ya kampeni?

Ama sivyo nitajua kuwa nyinyi watu wa kijani, mshaanza story za vijiweni!
 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao😂😂😂

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Uko sahihi lakini unachosahau Ni kwa CCM imehodhi vyombo vyote vya habari wakati chadema imebaki Twitter, Facebook, Instagram n.k lakini mamia kwa maelfu wanawakibali
 
CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.

Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.

CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.

Zaidi ya hapo hakuna.
Ahahaha,kweli aisee
 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao😂😂😂

Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Hususan maskini wa vijijini!
 
Wapuuzi ninyi, tunaenda kuikata hiyo MIRIJA ya elfu saba saba za kodi zetu mnazolipwa kila siku kwa kazi ya kuongea utopolo tu humu.
Usilojua ni usiku wa giza. Afterall siku hizi watu wameanza kumdharau Tundu Lissu maana matusi kwa JPM hata kabla hajagongwa risasi hali kuwa ni jadi yake. Imagine alirudi na kusema Corona ipo, akavaa barakoa siku mbili. Sasa anakusanya watu katika kampeni! Tumuulize Je, corona aliyotangazia ulimwengu bado ipo au haipo? Ni Mwenda wazimu yule. Ngoja baada ya uchaguzi chamoto atakipata
 
Kwa namna mambo yanavyoenda nikitoa unafiki na kuchambua Siasa na nikiambiwa nibet naona Magufuli akishinda zaidi ya alivyozhinda 2015.
Yeyote anaetaka tuweke dau juu ya Hili anicheck ili walau Nipige hela.
Maana siasa sinamafungamano nayo basi nipate hata hela kwenye hii siasa yenu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
njoo uchukie iphone hyo uachane na infinix tecno mode hzo
 
Usilojua ni usiku wa giza. Afterall siku hizi watu wameanza kumdharau Tundu Lissu maana matusi kwa JPM hata kabla hajagongwa risasi hali kuwa ni jadi yake. Imagine alirudi na kusema Corona ipo, akavaa barakoa siku mbili. Sasa anakusanya watu katika kampeni! Tumuulize Je, corona aliyotangazia ulimwengu bado ipo au haipo? Ni Mwenda wazimu yule. Ngoja baada ya uchaguzi chamoto atakipata


Tulia upate dawa kutoka kwa BASHITE
 

Attachments

  • Makonda.mp4
    13.5 MB
No.3 aya ya mwisho wakikujibu uanisaidie kunitag maana na Mimi nimekuwa nikiwauliza humu bila kujibiwa. Mmoja anieleze matusi ya Lissu kwa mgombea wao.
 
Kwasababu ya kuongea majukwaani wenyewe kwa miaka mitano wamepoteza ujuzi wa majibizano ya kisiasa sasa wanatumia vitisho badala ya hoja. Aibu yao milele. Shetani anajifumua mbele ya watu tumuone vile alivyo
 
Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.
Mbaya zaidi huu wimbo wa madaraja,ndege na treni Jiwe alikuwa akiuimba siku zote Kama wimbo wa taifa wakati akifanya kampeni peke huku Wengine wakiwa wamezibwa midomo.Imetokea wananchi sasa wameuzoea🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom