Gigiko2020
Member
- Oct 20, 2019
- 67
- 132
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyaoπππ
Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima.
KALAGHABAHO!!
Mzee Makamba amewataka wanaccm kujibu hoja za Lissu. Akatolea mfano hoja ya uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa Kijiji cha Chato.Mzee wangu Makamba kasemaje kwani! Imenipita hii, mambo mengi sana!
Mzee mjanja huyo ndio anakoleza habari ya ujenzi Wa huo uwanja. Jiulize kwann azungumzie uwanja tu.Mzee Makamba amewataka wanaccm kujibu hoja za Lisu. Akatolea mfano hoja ya uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa Kijiji cha Chato.
Makamba anasema majibu ya hoja hii ni kwamba Kijijini Chato kuna waanzania kwahiyo hakuna shida international airport kujengwa kwenye Kijiji hicho.
Mzee wa viojaNa wakija kihivyo ndio patanoga zaidi, maana tumewalia timing muda mrefu sana
Je, unaweza kunambia shamsi vua nahodha alipo maana Leo hakuoneka katika ufunguzi wa fiesta kibanda maitiChadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....
KALAGHABAHO!!
Mbona ile hoja ya kuwaweka mashehe ndani hamuijibumlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa.Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea.Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM.Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa
Leteni fujo muone moto kudadeki !Mzee wa vioja
Aisee Shusha Pumzi Mzalendo Wetu looh Mwaka Huu Unaweza KUMMEZA MTU bila ya mate kinywaniππLeteni fujo muone moto kudadeki !
ππ we bidada unamaneno ! Lakini pia weka akibaNa wakija kihivyo ndio patanoga zaidi , maana tumewalia timing muda mrefu sana
πππLeteni fujo muone moto kudadeki !
Naona CCM wakechelewa! Wanatakiwa waminyorosheni hasa huyu mpuuzi Tundu Lissu.Dalili ni hizi tatu miongoni mwa nyinginezo.
1. Speech ya Makamba kumjibu Lissu
Huyu mzee katoka mafichoni na kuja kujaribu kujibu hoja za Lissu!
Ni hivi: Mzee kaona jahazi linazama, kwahiyo akaona ni bora ajitokeze kuokoa jahazi ingawa kazi ya kujibu hoja za Lissu walipewa UVCCM kwa maagizo ya Bashiru, ila bila shaka mzee amegundua UVCCM pekee hawana uwezo wa kujibu hoja za Lissu hivyo kawataka na wazee wa chama wajitokeze kusaidia...
Kama una mwanachama hao kwann ufanye kampeni? Sio kila mwanachama ataweza kukupigia kura mgombea WA Chama chake,sio hivyoChadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyaoπππ
Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....
KALAGHABAHO!!
Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa
Ukimsikiliza Kheri James utagundua hofu yake kubwa iko katika Chadema kulinda kura zao baada ya uchaguzi.CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.
Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.
CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.
Zaidi ya hapo hakuna.