Mnajitahidi sana kutengeneza namba ya wanachama wenu ili kujenga uhalali wa ushindi. Eti 17 milioni, sasa kama mna idadi hiyo ya wanachama, na kwa muujibu wa tume wapiga kura waliojiandikisha ni 29 milioni.Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....
KALAGHABAHO!!
Kusema tu mtu anatukana haitoshi kuhalalisha madai yako. Hebu ainisha hayo matusi ni yepi?mlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa.Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea.Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM.Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa
Treni ya umeme??! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.
Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.
CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.
Zaidi ya hapo hakuna.
Natabiri kifo Cha mgombea mmojawapo wa uraisi kabla ya uchaguzi tena wa chama kimoja kikubwa
Huu ni utabiri so hayo mengine hayanihusuDunia Imejaa Makuhani,Watabiri Na Manabii WAONGO kupitiliza....
Ha ha ha haaaaaaa......Mkuu Salary Slip, amini unahitaji kujitathmini kwani unakoelekea hukujui. Iweje wewe tu ndiye uwe nwenye kujua kila kitu, kama huyo mgombea wako wa Urais, nwenye kujidai anajua sheria, anatetea Katiba huku akivunja kwa nakusudi.
Kama majibu ya hao uliowataja hayakutoshelezi, sikia mengine haya ili uondokane na Vioja badala ya Hoja, maana umemtaja kwa kuficha hoja zake.
Mkulu-Mkinichagulia mtu toka chama kingine sita waletea mendeleoLu-ma-ga
Hebu nitajie angalau tusi moja tu aliloliporomosha Tundu Lissu kwenye mikutano yake ya kampeni?
Ama sivyo nitajua kuwa nyinyi watu wa kijani, mshaanza story za vijiweni!
Huyu mzee nadhani anataka kumharibia zaidi. Hivi CCM eakijibu hoja ya kutetea uwanja wa ndege wa kimataifa kujrngwa kijijini kwa Magufuli kwa namna anayoshauri, itaisadia CCM au itaiumiza zaidi CCM?Mzee Makamba amewataka wanaccm kujibu hoja za Lissu. Akatolea mfano hoja ya uwanja wa ndege wa kimataifa kujengwa Kijiji cha Chato.
Makamba anasema majibu ya hoja hii ni kwamba Kijijini Chato kuna waanzania kwahiyo hakuna shida international airport kujengwa kwenye Kijiji hicho.
Standadi goji🤣😇🥰Treni ya umeme??! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Standard gauge ndio treni ya umeme siku hizi??
Taifa la wajinga sana kupitilizaaaStandadi goji[emoji1787][emoji56][emoji3059]
Stiglazi geji[emoji2956][emoji8][emoji857]
Acha uongo wewe soma ratiba ya tume ya uchaguzi mgombea wa ccm yuko off kwa siku 4 kuanxia jumatatu mtapata maumivu subirini
Jiwe itakua huko MAFICHONI anajifunza KUSHAWISHI wapiga kura, maana amezoea KUAMURU tu kwa miaka yote ya utawala wake wa MABAVU.
Huku Kwetu Kuko hivi, Vipi Huko Kwenu?CCM ya sasa ipo disorganized kuliko wakati wowote wa kampeni.
Wapinzani wakikaza kwenye kampeni na kulinda kura, CCM watapoteza sana.
CCM hasa hii ya JPM, imewaumiza wengi sana. Hawana cha kumuuza. Wanaishia madaraja, ndege na treni ya umeme.
Zaidi ya hapo hakuna.
Tajeni hayo matusi ambayo CCM tu wanayasikia Mh.Lissu akiyaporomosha.Mbona ni kama mnalazimisha tuamini kuwa CDM wanatukana wakati Sisi wapiga kura hatujawahi kuyasikia?mlidhani mnaweza kuongea upupu bila kujibiwa.Pokeeni majibu hayo kama hamtaki mtalazimishwa kuyapokea.Kutukana hakuruhusiwi katika kampeni, muige style ya JPM.Acheni kuporomosha mitusi toeni sera vinginevyo sheria itawalazimisha.Jinga kabisa