Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Mimi nauza mikate stand ya mabasi ya mikoani, awamu hii imenisaidia kwa kunipa kitambulisho cha mjasiriamali na naheshimika sana kazini hapa, pia nimenunua kiwanja, nimejenga, nasomesha na kuendesha maisha mengine huku nikifurahia maendeleo ya nchi yangu.

Sasa sijui wewe msomi umeyatoa wapi haya mawazo mgando eti nalipwa buku 7 ndomaana nikaomba ushahidi maana wasomi wa CCM wanaamini No research no Right to speak.
Dogo Nyie bado Sana, hayo siyo kipimo Cha maendeleo, Kila mtu Ana nyumba,
 
Kumbe unajivunia kwa sababu una hicho kitambulisho cha ujasiriamali kinacho kusaidia kukwepa kulipa kodi inayostahili kwa mwaka!!

Basi uko tofauti kabisa na mimi ambaye nakatwa kodi ya karibia laki mbili na nusu kwa mwezi, halafu hiyo kodi yangu naiona tu ikitumika kwenye matumizi ya hovyo hovyo yakiwemo ya kununulia ndege ambazo kwa sasa hazina kazi inayoeleweka.
Kwani hiyo 20000 sio ushuru? Rais alimua kuwasaidia wajasiriamali wadogo wadogo wasisumbuliwe na ushuru wa kila siku ambao ulikuwa kero. Sasa kulipia 20000 kwa mwaka sio ushuru?
 
Zipo sababu nyingi ambazo ningeorodhesha zote huenda vidole vingeuma kwa ku type ila kwa leo nataka niwatajie sababu chache tu, kwanini naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba.
  1. Mgombea wangu anaendelea kutandika reli yakisasa SGR, hivi mmeona lile jengo la stesheni makao makuu Dar, lile lenye umbo la Tanzanite? Mmeona mahandaki? Mmeona usanifu na ubunifu wapekee ktk mradi huu? Haya yote yanafanya nijivunie kuitwa kijana wa Lumumba.
  2. Mgombea wangu kaboresha bandari ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga, tembelea bandari hizi ujionee mambo makubwa yanayofanyika utapiga saluti.
  3. Mgombea wangu kajenga Mfugale na Ubungo Interchange. Mmewahi kupita pale na magari yenu? Mlijisikiaje? Ni mambo aliyofanya mgombea wangu.
  4. Mgombea wangu kajenga vituo vya Afya, Zahanati, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Rufaa na Kanda, Kaboresha upatikanaji wa huduma za Afya, kudadadeki zunguka nchi nzima utaniambia mwenyewe.
  5. Mgombea wangu kakata mirija ya ufisadi, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa waliofanya hivyo, sasahivi ukienda ofisi yoyote ya Umma ukikaa nje unaweza fuatwa na mkurugenzi akiomba kukusikiliza. Saluti kwako mgombea wangu.
  6. Mgombea wangu kasambaza umeme na sasa vimesalia vijiji elfu 3 tu Tanzania nzima kuwaka umeme, utaniambia nini?
  7. Mgombea wangu kajenga miradi mikubwa ya maji nchini tena ya kihistoria.
  8. Mgombea wangu kahamishia serikali Dodoma na jiji la Dodoma kwasasa limenoga, tafuta nauli uje Dodoma kujionea maajabu.
  9. Mgombea wangu kajenga network kubwa sana ya barabara nchini tena kwa kasi ya ajabu.
  10. Mgombea wangu kamalizia jengo la terminal 3 ktk Airport ya Mwalimu Nyerere. Lissu akija atajionea japo namhurumia kwakuwa hata hiyo nafasi ya kugombea wanamtosa na kumpa Membe.
  11. Mgombea wangu katandika masoko yakisasa kwenye miji 16 ya kimkakati, vituo vya mabasi ya abiria, sehemu za kupumzikia nk.
  12. Mgombea wangu kalipia cash kununua Madege 11 na 8 tayari yanapishana huku na huko ktk anga la Tanzania na anga la kimataifa. Kumbuka katoa cash, hatudaiwi na mtu ndo maana kuna nyakati anatoa bure kusaidia Watanzania maana hakuna anaye tudai.
  13. Mgombea wangu anajenga bwawa la kuzalisha umeme Megawatt 2100 baada ya kukamilisha, bei ya umeme itashuka sana.
  14. Mgombea wangu kanunua rada 4 mpya na kutuhakikishia usalama wa anga letu.
  15. Mgombea wetu kaondoa kero kwa wajasiriamali wadogo, nimevaa kitambulisho changu hapa nauza mikate yangu saaafi stand ya mabasi ya mikoani hakuna anaye niuliza ushuru, nasomesha, nimejenga makazi yangu, nafurahia kuitwa kijana wa Lumumba.
  16. Mgombea wangu kakomesha ujangili, wanyama sasa wanazaliana kwa raha zao, hadi wengine imebidi wapelekwe Dodoma na kwenye hifadhi ya Burigi Chato.
  17. Mgombea wangu kapanua viwanja vya ndege na amesha tangaza tenda ya kujenga bonge la uwanja jijini Dodoma.
  18. Mgombea wangu katatua migogoro ya wakulima na wafugaji iliyopelekea mauaji huko Morogoro na Manyara.
  19. Mgombea wangu kaanza mradi wa majaribio kusambaza huduma ya Gas majumbani huko Mtwara ktk eneo la Railway
  20. Mgombea wangu karekebisha mikataba ya hovyo na wawekezaji ktk sekta za madini, mawasiliano nk
  21. Mgombea wangu ameidhibiti Corona kwa uwezo wa Mungu
  22. Mgombea wangu kanunua Meli mpya na kufanya ukarabati wa meli zilizokuwa zimechoka.
  23. Mgombea wangu kajenga uzio kuzunguka eneo lenye madini ya Tanzanite matokeo yake Laizer kavunja rekodi ya Dunia.
  24. Timu ya taifa imefika AFCON na Samatta anacheza ligi kuu ya Uingereza
  25. Treni sasa inafika Kilimanjaro na Arusha wataiona soon
  26. Elimu bure, maboresho ya shule za vipaji maalumu na vyuo vikuu
  27. Mikopo ya elimu ya juu
MWISHO: NIITE KIJANA WA LUMUMBA NAMI NITAKUITIKIA NAMI NITAKUONESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU ALIYOYAFANYA MGOMBEA WANGU KWA UWEZO WA MUNGU.

jingalao

Mkuu tusisahau daraja la busisi feri to kigongo feri ujenzi umeanza mungu atupe Nini!. Dah!, nakupenda nchi yangu nampenda Rais wangu
 
Kwahiyo kusambaza umeme ni matumizi ya hovyo, huduma za afya ni matumizi ya hovyo, barabara ni matumizi ya hovyo... pole sana aisee TAFADHALI NENDA MIREMBE KABLA HAKIJAANZA KUKUPELEKESHA

Hivyo vyote vilifanyika tangu wakati wa utawala wa awamu ya 4! Labda kwenye huo ujenzi wa hivyo vituo vya afya visivyo na madawa! Lakini kuanzia barabara na huo umeme wa REA, ni matunda ya utawala wa Mkapa na JK!

Acheni ujinga wenu wa kumtukuza huyo mungu wenu ambaye hajafanikiwa chochote kwa miaka yote 5 zaidi tu ya kuyarudisha nyuma maisha ya Watanzania wengi wakiwemo Wafanyakazi kwa sababu tu ya ubinafsi wake wa kujiamulia mambo mwenyewe as if hii nchi ni mali yake.

Wewe endelea kuuza mikate yako huku ukijivunia kununua kiwanja, na kuona hayo kwako ni mafanikio. Hakuna namna. Ila usitulazimishe na sisi tumuamini, kumtukuza na kumsujudia shetani badala ya Mungu wetu aliye hai.
 
Zipo sababu nyingi ambazo ningeorodhesha zote huenda vidole vingeuma kwa ku type ila kwa leo nataka niwatajie sababu chache tu, kwanini naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba.
  1. Mgombea wangu anaendelea kutandika reli yakisasa SGR, hivi mmeona lile jengo la stesheni makao makuu Dar, lile lenye umbo la Tanzanite? Mmeona mahandaki? Mmeona usanifu na ubunifu wapekee ktk mradi huu? Haya yote yanafanya nijivunie kuitwa kijana wa Lumumba.
  2. Mgombea wangu kaboresha bandari ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga, tembelea bandari hizi ujionee mambo makubwa yanayofanyika utapiga saluti.
  3. Mgombea wangu kajenga Mfugale na Ubungo Interchange. Mmewahi kupita pale na magari yenu? Mlijisikiaje? Ni mambo aliyofanya mgombea wangu.
  4. Mgombea wangu kajenga vituo vya Afya, Zahanati, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Rufaa na Kanda, Kaboresha upatikanaji wa huduma za Afya, kudadadeki zunguka nchi nzima utaniambia mwenyewe.
  5. Mgombea wangu kakata mirija ya ufisadi, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa waliofanya hivyo, sasahivi ukienda ofisi yoyote ya Umma ukikaa nje unaweza fuatwa na mkurugenzi akiomba kukusikiliza. Saluti kwako mgombea wangu.
  6. Mgombea wangu kasambaza umeme na sasa vimesalia vijiji elfu 3 tu Tanzania nzima kuwaka umeme, utaniambia nini?
  7. Mgombea wangu kajenga miradi mikubwa ya maji nchini tena ya kihistoria.
  8. Mgombea wangu kahamishia serikali Dodoma na jiji la Dodoma kwasasa limenoga, tafuta nauli uje Dodoma kujionea maajabu.
  9. Mgombea wangu kajenga network kubwa sana ya barabara nchini tena kwa kasi ya ajabu.
  10. Mgombea wangu kamalizia jengo la terminal 3 ktk Airport ya Mwalimu Nyerere. Lissu akija atajionea japo namhurumia kwakuwa hata hiyo nafasi ya kugombea wanamtosa na kumpa Membe.
  11. Mgombea wangu katandika masoko yakisasa kwenye miji 16 ya kimkakati, vituo vya mabasi ya abiria, sehemu za kupumzikia nk.
  12. Mgombea wangu kalipia cash kununua Madege 11 na 8 tayari yanapishana huku na huko ktk anga la Tanzania na anga la kimataifa. Kumbuka katoa cash, hatudaiwi na mtu ndo maana kuna nyakati anatoa bure kusaidia Watanzania maana hakuna anaye tudai.
  13. Mgombea wangu anajenga bwawa la kuzalisha umeme Megawatt 2100 baada ya kukamilisha, bei ya umeme itashuka sana.
  14. Mgombea wangu kanunua rada 4 mpya na kutuhakikishia usalama wa anga letu.
  15. Mgombea wetu kaondoa kero kwa wajasiriamali wadogo, nimevaa kitambulisho changu hapa nauza mikate yangu saaafi stand ya mabasi ya mikoani hakuna anaye niuliza ushuru, nasomesha, nimejenga makazi yangu, nafurahia kuitwa kijana wa Lumumba.
  16. Mgombea wangu kakomesha ujangili, wanyama sasa wanazaliana kwa raha zao, hadi wengine imebidi wapelekwe Dodoma na kwenye hifadhi ya Burigi Chato.
  17. Mgombea wangu kapanua viwanja vya ndege na amesha tangaza tenda ya kujenga bonge la uwanja jijini Dodoma.
  18. Mgombea wangu katatua migogoro ya wakulima na wafugaji iliyopelekea mauaji huko Morogoro na Manyara.
  19. Mgombea wangu kaanza mradi wa majaribio kusambaza huduma ya Gas majumbani huko Mtwara ktk eneo la Railway
  20. Mgombea wangu karekebisha mikataba ya hovyo na wawekezaji ktk sekta za madini, mawasiliano nk
  21. Mgombea wangu ameidhibiti Corona kwa uwezo wa Mungu
  22. Mgombea wangu kanunua Meli mpya na kufanya ukarabati wa meli zilizokuwa zimechoka.
  23. Mgombea wangu kajenga uzio kuzunguka eneo lenye madini ya Tanzanite matokeo yake Laizer kavunja rekodi ya Dunia.
  24. Timu ya taifa imefika AFCON na Samatta anacheza ligi kuu ya Uingereza
  25. Treni sasa inafika Kilimanjaro na Arusha wataiona soon
  26. Elimu bure, maboresho ya shule za vipaji maalumu na vyuo vikuu
  27. Mikopo ya elimu ya juu
MWISHO: NIITE KIJANA WA LUMUMBA NAMI NITAKUITIKIA NAMI NITAKUONESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU ALIYOYAFANYA MGOMBEA WANGU KWA UWEZO WA MUNGU.

jingalao

Kijana masikini kabisa, unapata wapi muda wa kundika upuuzi Kama huu?
 
Sasa wewe unafurahia hizi rafu za ccm na unajisikia vizuri kabisa ccm wakishinda katika hali ya uonevu mkubwa? Chunguza akili yako vizuri kuna kitu.
Wapi kuna uonevu? Huo ni mtazamo wako wangu ni kuwa hamna uonevu. Kila mtu abaki na mtazamo wake.
 
Huna lolote wewe! Unaona fahari kuitwa kijana wa lumumba ni kwa sababu tu unalipwa elfu 7 kwa siku ili uendeshee maisha yako kupitia haya mapambio mnayotuletea humu jukwaani kila siku.

Hakuna umaskini mbaya kama ule wa akili!

Kila mtu anasikia raha anapoitwa kile apendacho, Lumumba aka buku 7

Vipi ninyi mnajisikia vibaya mkiitwa ufipa aka nyumbu?
Maana ndio origin yenu.
 
PhD fake na Jesus fake, vinakufanya ujione fahari fake si ndio?!
Kweli Lumumba mnalogwa na buku7.
Na siku mkikatiwa malipo ndio itakua salama yenu.,maana mtaaamka na kutoka kwenye utumwa.
 
Mkemia yule kudadadeki wakwenu DJ 0
 
Zipo sababu nyingi ambazo ningeorodhesha zote huenda vidole vingeuma kwa ku type ila kwa leo nataka niwatajie sababu chache tu, kwanini naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba.
  1. Mgombea wangu anaendelea kutandika reli yakisasa SGR, hivi mmeona lile jengo la stesheni makao makuu Dar, lile lenye umbo la Tanzanite? Mmeona mahandaki? Mmeona usanifu na ubunifu wapekee ktk mradi huu? Haya yote yanafanya nijivunie kuitwa kijana wa Lumumba.
  2. Mgombea wangu kaboresha bandari ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga, tembelea bandari hizi ujionee mambo makubwa yanayofanyika utapiga saluti.
  3. Mgombea wangu kajenga Mfugale na Ubungo Interchange. Mmewahi kupita pale na magari yenu? Mlijisikiaje? Ni mambo aliyofanya mgombea wangu.
  4. Mgombea wangu kajenga vituo vya Afya, Zahanati, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Rufaa na Kanda, Kaboresha upatikanaji wa huduma za Afya, kudadadeki zunguka nchi nzima utaniambia mwenyewe.
  5. Mgombea wangu kakata mirija ya ufisadi, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa waliofanya hivyo, sasahivi ukienda ofisi yoyote ya Umma ukikaa nje unaweza fuatwa na mkurugenzi akiomba kukusikiliza. Saluti kwako mgombea wangu.
  6. Mgombea wangu kasambaza umeme na sasa vimesalia vijiji elfu 3 tu Tanzania nzima kuwaka umeme, utaniambia nini?
  7. Mgombea wangu kajenga miradi mikubwa ya maji nchini tena ya kihistoria.
  8. Mgombea wangu kahamishia serikali Dodoma na jiji la Dodoma kwasasa limenoga, tafuta nauli uje Dodoma kujionea maajabu.
  9. Mgombea wangu kajenga network kubwa sana ya barabara nchini tena kwa kasi ya ajabu.
  10. Mgombea wangu kamalizia jengo la terminal 3 ktk Airport ya Mwalimu Nyerere. Lissu akija atajionea japo namhurumia kwakuwa hata hiyo nafasi ya kugombea wanamtosa na kumpa Membe.
  11. Mgombea wangu katandika masoko yakisasa kwenye miji 16 ya kimkakati, vituo vya mabasi ya abiria, sehemu za kupumzikia nk.
  12. Mgombea wangu kalipia cash kununua Madege 11 na 8 tayari yanapishana huku na huko ktk anga la Tanzania na anga la kimataifa. Kumbuka katoa cash, hatudaiwi na mtu ndo maana kuna nyakati anatoa bure kusaidia Watanzania maana hakuna anaye tudai.
  13. Mgombea wangu anajenga bwawa la kuzalisha umeme Megawatt 2100 baada ya kukamilisha, bei ya umeme itashuka sana.
  14. Mgombea wangu kanunua rada 4 mpya na kutuhakikishia usalama wa anga letu.
  15. Mgombea wetu kaondoa kero kwa wajasiriamali wadogo, nimevaa kitambulisho changu hapa nauza mikate yangu saaafi stand ya mabasi ya mikoani hakuna anaye niuliza ushuru, nasomesha, nimejenga makazi yangu, nafurahia kuitwa kijana wa Lumumba.
  16. Mgombea wangu kakomesha ujangili, wanyama sasa wanazaliana kwa raha zao, hadi wengine imebidi wapelekwe Dodoma na kwenye hifadhi ya Burigi Chato.
  17. Mgombea wangu kapanua viwanja vya ndege na amesha tangaza tenda ya kujenga bonge la uwanja jijini Dodoma.
  18. Mgombea wangu katatua migogoro ya wakulima na wafugaji iliyopelekea mauaji huko Morogoro na Manyara.
  19. Mgombea wangu kaanza mradi wa majaribio kusambaza huduma ya Gas majumbani huko Mtwara ktk eneo la Railway
  20. Mgombea wangu karekebisha mikataba ya hovyo na wawekezaji ktk sekta za madini, mawasiliano nk
  21. Mgombea wangu ameidhibiti Corona kwa uwezo wa Mungu
  22. Mgombea wangu kanunua Meli mpya na kufanya ukarabati wa meli zilizokuwa zimechoka.
  23. Mgombea wangu kajenga uzio kuzunguka eneo lenye madini ya Tanzanite matokeo yake Laizer kavunja rekodi ya Dunia.
  24. Timu ya taifa imefika AFCON na Samatta anacheza ligi kuu ya Uingereza
  25. Treni sasa inafika Kilimanjaro na Arusha wataiona soon
  26. Elimu bure, maboresho ya shule za vipaji maalumu na vyuo vikuu
  27. Mikopo ya elimu ya juu
MWISHO: NIITE KIJANA WA LUMUMBA NAMI NITAKUITIKIA NAMI NITAKUONESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU ALIYOYAFANYA MGOMBEA WANGU KWA UWEZO WA MUNGU.

jingalao
Namba ya simu tafadhali
 
Kila mtu anasikia raha anapoitwa kile apendacho, Lumumba aka buku 7

Vipi ninyi mnajisikia vibaya mkiitwa ufipa aka nyumbu?
Maana ndio origin yenu.

Wewe buku 7 mimi ni Mtanzania tu Mzalendo nisiye na chama. Ila siwezi kukataa nanma nilivyo na chuki za wazi wazi dhidi ya chama kinachoitwa CCM
 
Back
Top Bottom