Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
- Thread starter
- #41
Mbumbumbu, mpaka awamu ya 4 inatoka REA ilipeleka umeme vijiji 1000 tu tena kwa kupapasa. Awamu ya 5 vijiji 8000 vipya na umesambazwa kila kona ya kijijiHivyo vyote vilifanyika tangu wakati wa utawala wa awamu ya 4! Labda kwenye huo ujenzi wa hivyo vituo vya afya visivyo na madawa! Lakini kuanzia barabara na huo umeme wa REA, ni matunda ya utawala wa Mkapa na JK!
Acheni ujinga wenu wa kumtukuza huyo mungu wenu ambaye hajafanikiwa chochote kwa miaka yote 5 zaidi tu ya kuyarudisha nyuma maisha ya Watanzania wengi wakiwemo Wafanyakazi kwa sababu tu ya ubinafsi wake wa kujiamulia mambo mwenyewe as if hii nchi ni mali yake.
Wewe endelea kuuza mikate yako huku ukijivunia kununua kiwanja, na kuona hayo kwako ni mafanikio. Hakuna namna. Ila usitulazimishe na sisi tumuamini, kumtukuza na kumsujudia shetani badala ya Mungu wetu aliye hai.