Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

1594123804186.jpeg
 
Ni vyema sana ila namba sita kuna mambo ya kutisha vijijini hakuna umeme kama Mh Rais anavyo aminishwa niliwahi toa pendekezo Mh Rais aunde tume huru tena iwe na raia wa kawaida wazunguke vijijini wajionee ukweli kuhusu umeme, umeme unawekwa kwenye màeneo muhimu tu au kwenye kitongoji kimoja theñ sehemu kubwa na raia wengi wanabaki bila umeme then takwimu zinaandikwa kuwa kijiji chote kina umeme.
 
Siyo jambo la ajabu. Maana kama miaka yako yote toka utotoni hukuwahi itwa Jina la maana sasa hata ukiitwa kijana wa shetani utaona ni sifa.
 
Toa ushahidi wa udikteta, ukabila kivipi? Au majaliwa ni msukuma? Mama samia je? mawaziri wote wasukumba sindio? na wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi pia ni wasukuma? ukabila umeona wapi?
Demokrasia gani unayoitaka? kusingekuwa na demokrasia usingeweza hata kuandika haya JF, Acha wivu wakike fedha za UMMA akizitumia kuchangia miradi ya wananchi kuna tatizo gani? Ulimwona akiua na kuumiza wapinzani? Umesahau kisa cha Mbowe na Chacha? Vyombo gani vya habari vimezuiwa? Takwimu za corona zinakusaidia nini? Au baba yako na mama yako walikufa na corona? Mbowe kajenga hata mfereji wa maji taka? Nani kakwambia ndege zinaleta hasara, toa ushahidi wa kimahesabu hapa.
KONYAGI SAHIVI MNAGAWIWA NGAPI PALE UFIPA?
Kibajaji na msukusu wanafahamu vema juu ya hili maana "ngeu" zao na mining'inio ni ushahidi tosha...
 
Mgombea wako kuwa dikteta
Mgombea wako kuwa mkabila
Mgombea wako kuuwa demokrasia
Mgombea wako kugawa fedha za umma kama zake
Mgombea wako kuuwa na kuumiza wapinzani
Mgombea wako kuzuia uhuru wa vyombo vya habari
Mgombea wako kuficha takwimu za corona
Mgombea wako kujenga SGR ya njia moja badala ya njia mbili
Mgombea wako kununua mandege ambayo hasara yake hatuambiwi
Mgombea wako ......
Hoja za kipuuzi Sana kwa watu wenye akili zao.
Note; siyo lazima ku comment kila Uzi, muda mwingine unakaa kimya ili kuepuka kudhihilisha ujinga wako.
 
Kuna mtumishi wa UMMA hajalipwa mshahara wake?
Usiniwekee neno ambalo sijasema!.. Nazungumzia Stahiki za watumishi,,Mshahara ni moja Tu ya hizo Stahiki,,kama mkataba WA kazi unavyosema!..labda ungeuliza Stahiki zipi?. na sio kujikita kwenye mshahara AMBAYO haijapanda Kwa miaka 5
 
Usiniwekee neno ambalo sijasema!.. Nazungumzia Stahiki za watumishi,,Mshahara ni moja Tu ya hizo Stahiki,,kama mkataba WA kazi unavyosema!..labda ungeuliza Stahiki zipi?. na sio kujikita kwenye mshahara AMBAYO haijapanda Kwa miaka 5
Mkuu kwani kuna mtu anakulazimisha kuendelea na kazi? Si uache tu kama unaona hailipi tafuta inayo kufaa.
 
Back
Top Bottom