Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Dogo Nyie bado Sana, hayo siyo kipimo Cha maendeleo, Kila mtu Ana nyumba,
 
Kwani hiyo 20000 sio ushuru? Rais alimua kuwasaidia wajasiriamali wadogo wadogo wasisumbuliwe na ushuru wa kila siku ambao ulikuwa kero. Sasa kulipia 20000 kwa mwaka sio ushuru?
 
Mkuu tusisahau daraja la busisi feri to kigongo feri ujenzi umeanza mungu atupe Nini!. Dah!, nakupenda nchi yangu nampenda Rais wangu
 
Kwahiyo kusambaza umeme ni matumizi ya hovyo, huduma za afya ni matumizi ya hovyo, barabara ni matumizi ya hovyo... pole sana aisee TAFADHALI NENDA MIREMBE KABLA HAKIJAANZA KUKUPELEKESHA

Hivyo vyote vilifanyika tangu wakati wa utawala wa awamu ya 4! Labda kwenye huo ujenzi wa hivyo vituo vya afya visivyo na madawa! Lakini kuanzia barabara na huo umeme wa REA, ni matunda ya utawala wa Mkapa na JK!

Acheni ujinga wenu wa kumtukuza huyo mungu wenu ambaye hajafanikiwa chochote kwa miaka yote 5 zaidi tu ya kuyarudisha nyuma maisha ya Watanzania wengi wakiwemo Wafanyakazi kwa sababu tu ya ubinafsi wake wa kujiamulia mambo mwenyewe as if hii nchi ni mali yake.

Wewe endelea kuuza mikate yako huku ukijivunia kununua kiwanja, na kuona hayo kwako ni mafanikio. Hakuna namna. Ila usitulazimishe na sisi tumuamini, kumtukuza na kumsujudia shetani badala ya Mungu wetu aliye hai.
 
Kijana masikini kabisa, unapata wapi muda wa kundika upuuzi Kama huu?
 
Sasa wewe unafurahia hizi rafu za ccm na unajisikia vizuri kabisa ccm wakishinda katika hali ya uonevu mkubwa? Chunguza akili yako vizuri kuna kitu.
Wapi kuna uonevu? Huo ni mtazamo wako wangu ni kuwa hamna uonevu. Kila mtu abaki na mtazamo wake.
 
Huna lolote wewe! Unaona fahari kuitwa kijana wa lumumba ni kwa sababu tu unalipwa elfu 7 kwa siku ili uendeshee maisha yako kupitia haya mapambio mnayotuletea humu jukwaani kila siku.

Hakuna umaskini mbaya kama ule wa akili!

Kila mtu anasikia raha anapoitwa kile apendacho, Lumumba aka buku 7

Vipi ninyi mnajisikia vibaya mkiitwa ufipa aka nyumbu?
Maana ndio origin yenu.
 
PhD fake na Jesus fake, vinakufanya ujione fahari fake si ndio?!
Kweli Lumumba mnalogwa na buku7.
Na siku mkikatiwa malipo ndio itakua salama yenu.,maana mtaaamka na kutoka kwenye utumwa.
 
PhD fake na Jesus fake, vinakufanya ujione fahari fake si ndio?!
Kweli Lumumba mnalogwa na buku7.
Na siku mkikatiwa malipo ndio itakua salama yenu.,maana mtaaamka na kutoka kwenye utumwa.
Mkemia yule kudadadeki wakwenu DJ 0
 
Namba ya simu tafadhali
 
Kila mtu anasikia raha anapoitwa kile apendacho, Lumumba aka buku 7

Vipi ninyi mnajisikia vibaya mkiitwa ufipa aka nyumbu?
Maana ndio origin yenu.

Wewe buku 7 mimi ni Mtanzania tu Mzalendo nisiye na chama. Ila siwezi kukataa nanma nilivyo na chuki za wazi wazi dhidi ya chama kinachoitwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…