Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

Ni vyema sana ila namba sita kuna mambo ya kutisha vijijini hakuna umeme kama Mh Rais anavyo aminishwa niliwahi toa pendekezo Mh Rais aunde tume huru tena iwe na raia wa kawaida wazunguke vijijini wajionee ukweli kuhusu umeme, umeme unawekwa kwenye màeneo muhimu tu au kwenye kitongoji kimoja theñ sehemu kubwa na raia wengi wanabaki bila umeme then takwimu zinaandikwa kuwa kijiji chote kina umeme.
 
Siyo jambo la ajabu. Maana kama miaka yako yote toka utotoni hukuwahi itwa Jina la maana sasa hata ukiitwa kijana wa shetani utaona ni sifa.
 
Kibajaji na msukusu wanafahamu vema juu ya hili maana "ngeu" zao na mining'inio ni ushahidi tosha...
 
Hoja za kipuuzi Sana kwa watu wenye akili zao.
Note; siyo lazima ku comment kila Uzi, muda mwingine unakaa kimya ili kuepuka kudhihilisha ujinga wako.
 
Kuna mtumishi wa UMMA hajalipwa mshahara wake?
Usiniwekee neno ambalo sijasema!.. Nazungumzia Stahiki za watumishi,,Mshahara ni moja Tu ya hizo Stahiki,,kama mkataba WA kazi unavyosema!..labda ungeuliza Stahiki zipi?. na sio kujikita kwenye mshahara AMBAYO haijapanda Kwa miaka 5
 
Usiniwekee neno ambalo sijasema!.. Nazungumzia Stahiki za watumishi,,Mshahara ni moja Tu ya hizo Stahiki,,kama mkataba WA kazi unavyosema!..labda ungeuliza Stahiki zipi?. na sio kujikita kwenye mshahara AMBAYO haijapanda Kwa miaka 5
Mkuu kwani kuna mtu anakulazimisha kuendelea na kazi? Si uache tu kama unaona hailipi tafuta inayo kufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…