naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
 
Attachments

  • 47474BA2-3652-4E3A-8E13-CF4EC22C087F.jpeg
    47474BA2-3652-4E3A-8E13-CF4EC22C087F.jpeg
    674.8 KB · Views: 5
Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
bado mnafuatiliaga huo ujinga? mtakuwa lini? Ila Bongo inaweza kuwa ni moja ya SOko kubwa sana ya Television make wabongo hata basi lisilo kuwa na TV mtu hataku kupanda.
 
Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
Nadhani benchi la ufundi linatakiwa libadilike, ujinga ni kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya
 
Back
Top Bottom