Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

huu ujinga ulinifanya ni dharau hawa pusi. una kuta daa nyingne mtu anajieza ila mpaka atumie hela zako
 
Wala alafu sasa nawapata wengi sana.... Imagine kuna mwanaume ananitongoza toka nikiwa na ujauzito wa miezi 3 mpaka nimejifungua saizi mtoto ana miezi 4... Bado tu ananilia timing mkaka wa watu..
Huyo aliyekupa mimba hakukutongoza? Mbona umeliwa za kichwa na mimba juu labda awe amekuowa
 
Bro mbona unataka nianze kuji-access.
 
Huyo kwanza kashazaa, kwahiyo thamani yake ishashuka, achana nae, now tutadili na vigoli vibichi wakati wa kuchakata, wakati wa kuoa tutaoa bikra tu.

Na mwanaume ukikuta Binti bikra tafadhali usimtie, utapunguza idadi ya waolewaji, maana tukimkuta hatumuoi, hiyo ndo sheria mpya itakayoenda kutungwa na bunge.
Huyo aliyekupa mimba hakukutongoza? Mbona umeliwa za kichwa na mimba juu labda awe amekuowa
 
Shida ukijichanganya umtongoze ghafla anakuwa yatima, gesi inaisha, nywele zinaanza kuwasha so anatakiwa asuke na ukikaa vibaya na kodi ya nyumba inaisha. Mi nimejichanganya kwa mmoja kumbe ana simu ya mkopo tigo anatakiwa alipe buku kila siku sijui kwa mwaka mzima. Nimelipa kama buku 3 hivi nimemwambia buku buku zilizobaki utakuwa unaijia lodge
 
Hii thread inasadifu level niliyoko kwa sasa. nikiwaza kumtuza demu ambaye sio mke wangu ni ubwege kabisa uko nae kumbe yupo na wengine. kuna demu niliwahi kumzimikia kipindi cha nyuma kidogo miaka 3 imepita akawa ananizungusha. nikatemana nae juzi kati nikakutana nae story mbili tatu,

nikamwambie tukutane kesho tunyanduane hakuna mtongozo nikanunua mpira wangu nikapiga kesho yake siku mtafuta nae aka mute juzi ananitafuta anataka tukanyanduane tena nimtoa na kidogo,
kifupi hawa mademu sio wa kuwapa moyo wako atakula vihela vyako baadae anatimkia kwa mwingne.

mimi nimeshuhudia wanaume wanao hudimiaga hizi pisi huja kulia vibaya sana kwasababu waliwekeza mioyo na Mitaji yao hapo.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hili Ni kweli...List niliyonayo Ni said ya wadada watano wanaonesha interest kwangu waziwazi.....Imefikia hatua dada mmoja kajiondoa kwa kusema hao marafiki zake wamemjengea mpaka chuki kisa Mimi......Ila wote Sina time nap huyu mmoja she is best friend but she needs a man......Inatia huruma kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…