atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Utasubiri saana my dearInategemea... Mimi utanitongozaaa tu sitaki short cut miye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri saana my dearInategemea... Mimi utanitongozaaa tu sitaki short cut miye
Hahahahahahh,hamtaki humsahau kutongoza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi mim
Tukiacha kununua hao wauzaji utasaidia kulea familia zao?Eendiwoooooooo sis mambo za kununua sio poa kabisaa sis [emoji3526]
Nakazia SasaNa hili mkalitizame.
Hakajitambui[emoji3]Kuna kasingle mother ma miaka 23 kalitia time afisini kwetu, nikakaribisha fresh tu kakampata mwenyeji wake,nikakanunulia soda na cake kakagonga fresh,kakaniachia contact kenyewe.
Juzi kamenipiga mzinga,wa ela kumi da nikakatumia,
Jana kakaniambia hakana vocha,nikakatumia faru mmoja,jioni kamenitumia cheti chale Cha chipitali kanaumwa u.t.i kanaomba Hela ya matunda,dawa zinamtia kichefuchefu.
Kameona nimezimiiiiiiiika.sasa namfungia viooo kapumbavu sana.
Umeshindwa kuvumiliaKuna msemo wa jamii fulani kuwa: 'nguvu ya mamba iko katika maji nguvu ya mwanaume iko mfukoni'. Kama hamna hela mtathubutu kumualika mwanamke mtoke out! Ndio maana mnaishia kusifia tu yule mzuri ana shape. Siku mkiwa na hela mtawatoa out tu.
Hizo ni imani tuu hamna chochoteSiku hiyo Kutakuwa na makundi mawili, moja likuwa ni kundi la peponi( uzima) hili ndilo kundi litakalofuzu( tumuombe sana Mungu tuwe kwenye kundi hili. Amiin
Kundi la pili litakuwa ni kundi la motoni,
Sifa ya kundi ni
_HALIAMINI UWEPO WA MUNGU,
_HALIAMINI UWEPO WA KIAMA
_HALIAMINI UWEPO WA MOTO WALA PEPO
_HALIAMINI UWEPO WA MALAIKA
_HALIAMINI UWEPO WA VITABU VITAKATIFU VYA MUNGU
WAO HUTUMIA AKILI ZAO TU WANAAMINI AKILI ZAO, WANASAHAU HATA HIZO AKILI WAMEPEWA NA MUNGU
KUNDI HILI LITAPELEKWA MOTONI ,
kabla halijaingizwa kweye moto litasimamishwa na malaika wa motoni kisha wataulizwa kwanza kuwa
"HIVI NYIE HUKO DUNIANI HAMKUAMBIWA HABARI HII YA MOTO WA JAHANAM?"
watajibu tuliambiwa ila tulikaidi tu sisi wenyewe kwa ujinga wetu,
Wataambiwa ingieni sasa muonje huo moto kwa yale mlioyakanusha huko duniani, (Source: QURAAN)
SIFA ZA MOTO WA JEHANAM
Una rangi nyeusi, ueusi wake umepitia hatua tatu,
1. Ulianza kwenye rangi nyekundu
2. Ukaongezwa joto ukawa rangi ya bluu( huu ni kama ule wa gesi)
3.ukaongezwa tena ukawa mweusi,
Ambao huo moto unangoja watu wenye kupuuza maagizo ya Mungu,
Kuni za zake ni mawe, maana kwa joto lake hata jiwe litayeyuka kirahisi tu, na ngozi kila inapoisha inajirudia tena ili kuendelea kuteseka
Moto huu ni moto wa milele, (endless ) FIKIRIA SANA JUU YA HILI EWE MWANADAMU MKAIDI
Umri wa nwanadam ni miaka michache sana ni 60 tu, baada ya hapo nguvu zinakuwa zimeisha na happ kinachofata ni umauti na UTAENDA KUSHUHUDIA LIVE juu ya ujinga unaoukanusha sasa,
Muda sio mrefu utakufa na utaenda kushuhudia mwenyewe,
Usibishe maana haya utayakuta tu HAKUNA SHAKA JUU YA HILI. Ni Suala la Muda tu
NA adhabu itaanza mara tu roho yako itakapo anza kutolewa, pale pale unapokata roho anakuja malaika wa mauti kukutoa roho kwa uchungu hadi mkojo na kinyesi kinatoka kwa wakati mmoja, muda si mrefu utayaona live ukiwa na madhambi hasa kwa wanaokataa kufuata Sheria zake,
Ila kwa aliye amini atakatenda mema roho yake itatolewa taratibu na atakwepana na adhabu kama hizi,
TUMUOMBE MUNGU ATUJAALIE MWISHO MWEMA,
Tusife ila tuwe tume tubu dhambi zetu ili tupate salama kwa Mungu
Amiin
Nilikuwa nimemelog out, umenipa kazi ya kulog in ili tu nikugongee like. Pumbavu sana.Na hili mkalitizame.
Kanunue hakuna aliekuzuia!Tukiacha kununua hao wauzaji utasaidia kulea familia zao?
Unaenjoy kwa raha zako,Antonnia sorry wewe mwenyeji wa wapi?,kama hutojali naomba unijibuWhere we dare to talk openly! Ni maoni yake mkuu!!
Heri yao walio minato mana wataenjoy to the fullest!!
Zin 1:1
[emoji16]Nilikuwa nimemelog out, umenipa kazi ya kulog in ili tu nikugongee like. Pumbavu sana.
Unajua maana ya neno asili wewe?Kwa maelezo yako unathibitisha kuwa Mungu hayupo,
Tumia akili yako tu kutafakari juu ya mbingu zilivyokaa na zilivyo simama, tazama kwa makini muundo wa dunia ulivyo kaa jitafakar,
Angalia tu kwa makini umbo la mwanadam lilivyokaa, mfumo mzima wa mwanadam ulivyo,
Angalia sana suala la uzee na kifo , tafakari kuhusu hilo
Unapata picha kuwa kama yupo aliyeviumba hivi vitu basi atakuwa ni supper power, ukubwa wake haupimiki kwa akili zako, na anaweza kufanya atakavyo kwa muda autakao,
Nilitaka kukufafanua kimaandiko juu ya uwepo wake ila wewe huviamini hata vitabu hivyo,
Angalia tu kuwa mtu akifika miaka 60 nguvu zinamuishia maana yake anarudi kwa aliye muumba, sasa wewe umri wako hata uishi miaka 120 lakini utakufa,
Kabla hujafa jua yafuatayo YATAKUKUTA NA UTAYAONA LIVE
1.atakuja malaika mtoa roho, utamwona live, ukiwa na matendo mema atakuja na ura nzuri na atakutoa roho kwa upole, ukiwa na madhambi na wasio amini uwepo wa Mungu atakuja na umbo la kutisha sana na atakutoa roho kwa ukali mno hadi kinyesi na mkojo vinaweza kukutoka kwa pamoja kwa yale utakayoyaona. ( WAULIZE WATU WA MORTUARY au WANAOOSHA MAITI WANAJUA MAMBO MENGI SANA SEMA NI SIRI TU,
2. UKIFA MOTO UTAUONA LIVE kwa macho yako na utaanza kuchomwa hapo hapo kaburini kabla ya siku ya kufufuliwa , una siku ukifufuliwa utakutana nao tena na huo utakuwa ni moto wa milele, uki2a huna dhambi basi hata kaburini itakuwa ni bata tu
USHAURI KWAKO
Rudi kwenye njia ya Mwenyezi Mungu, soma vitabu vyote vya dini vya KIISLAMU NA kikristo, maswali usiyoyaelewa waulize wajuzi wa dini hiyo uelimishwe.
Ukifanya hayo kuna siku utarudi kuitazama post yako utamshkuru Mungu kwakukutoa ndani ya hilo giza ulilopo kwa sasa, yaani UPO NDANI YA GIZA NENE SANA. na usipofanya jitihada za haraka utashangaa mauti yamekukuta na hujamjua Mungu wa kweli, utakuwa ni mwenye kujuta
NENO NINGEJUA HUA NI MWISHO WA SAFARI
Anatishia watu na moto wa kufikirika [emoji23][emoji23]Mkuu nmekusoma sna ila ni ivi mimi siogopi mauti , jifunze pia kufundisha watu wasiogopa vitisho sijui moto ,mauti na mengne, kamwe hauwezi niambia kitu nikaelewa kwa kunipa vitisho ,period .
HahahahhaNgoja nikusaidie kumwita Cc: Antonnia
Wewe jamaa umehamia kipande hii hatari sana
Hivi vitisho vinaleta walakini mwingi sana 😢Anatishia watu na moto wa kufikirika [emoji23][emoji23]
Wala alafu sasa nawapata wengi sana.... Imagine kuna mwanaume ananitongoza toka nikiwa na ujauzito wa miezi 3 mpaka nimejifungua saizi mtoto ana miezi 4... Bado tu ananilia timing mkaka wa watu..Utasubiri saana my dear