Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Wamechoka kuibiwa hela zao ukingatia wanawake wenyewe hawana hata jipya chini ya jua !
Yanini mei !
Yanini mei !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli kabisa. Wanawake wengi ni wauzaji wanatumia njia mbalimbali kuuza.Unamuita pisi ww wengine wanajua ni malaya na wanamnunua,So tofauti ni bei ya kununulia tu yako inakuwa chini au juu
Ewaaaa! Umenitukumbusha jambo lisilotakiwa kufumbiwa machoSijaona mtu anazungumzia kuongezeka kwa harufu za sehemu za siri kama moja ya sababu.
Hahaha mkuu umewiva kwa kauli yako hii. Huna ushamba wa k!.Kutongoza ni kujichoresha tu kwa demu.
Ni ngumu mno mwanamke kukuambia hayo au kusimulia kwa rafiki zake. Ni malaya aliyekubuhu pekee ndiye asiye na haya kwenye kuongea hayo.Unahudumia vyote hivyo kisha unaambiwa huna nguvu za kiume. Bora ukakodishe mbuchuchu
Na bado hamja sema yani mpaka msemeWatu hawana shobo tena na mademu ni mikausho mikali ..
Mbona kinyama hivyo?Kuna mmoja Mwanachuo tulikutana Hotelini wakati wa msosi,tukawa meza moja stori stori tukapeana namba baadae kesho yake nikamtafuta nikaomba appointment, akaanza oh sidhani kama tutakutana maana nina Boy wangu nampenda sana,nikamjibu OK poa,nikafuta namba yake. Kesho ananitumia SMS nimuongezee hela ya kusuka,nikamuuliza namwongezea hela Mimi kama nani yake,akaanza oh sio hivyo unavyofikiria wewe niongezee then tutakutana,nikamchana makavu nikamwambia asinisumbue tena.
Ni kweli!.Wamekujaza upuuzi ukapumbazika yani upo kama lizombi,hakuna kiama wala nini dunia hii ipo na itaendelea kuwepo milele.
Hiyo ni kwenu, sisi Wakristo halipo kwenye vitabu vyetu kuwa atakuja sijui malaika this and that... hivyo siamini kwa sababu halipo kwenye kitabu changu.Siku hiyo Kutakuwa na makundi mawili, moja likuwa ni kundi la peponi( uzima) hili ndilo kundi litakalofuzu( tumuombe sana Mungu tuwe kwenye kundi hili. Amiin
Kundi la pili litakuwa ni kundi la motoni,
Sifa ya kundi ni
_HALIAMINI UWEPO WA MUNGU,
_HALIAMINI UWEPO WA KIAMA
_HALIAMINI UWEPO WA MOTO WALA PEPO
_HALIAMINI UWEPO WA MALAIKA
_HALIAMINI UWEPO WA VITABU VITAKATIFU VYA MUNGU
WAO HUTUMIA AKILI ZAO TU WANAAMINI AKILI ZAO, WANASAHAU HATA HIZO AKILI WAMEPEWA NA MUNGU
KUNDI HILI LITAPELEKWA MOTONI ,
kabla halijaingizwa kweye moto litasimamishwa na malaika wa motoni kisha wataulizwa kwanza kuwa
"HIVI NYIE HUKO DUNIANI HAMKUAMBIWA HABARI HII YA MOTO WA JAHANAM?"
watajibu tuliambiwa ila tulikaidi tu sisi wenyewe kwa ujinga wetu,
Wataambiwa ingieni sasa muonje huo moto kwa yale mlioyakanusha huko duniani, (Source: QURAAN)
SIFA ZA MOTO WA JEHANAM
Una rangi nyeusi, ueusi wake umepitia hatua tatu,
1. Ulianza kwenye rangi nyekundu
2. Ukaongezwa joto ukawa rangi ya bluu( huu ni kama ule wa gesi)
3.ukaongezwa tena ukawa mweusi,
Ambao huo moto unangoja watu wenye kupuuza maagizo ya Mungu,
Kuni za zake ni mawe, maana kwa joto lake hata jiwe litayeyuka kirahisi tu, na ngozi kila inapoisha inajirudia tena ili kuendelea kuteseka
Moto huu ni moto wa milele, (endless ) FIKIRIA SANA JUU YA HILI EWE MWANADAMU MKAIDI
Umri wa nwanadam ni miaka michache sana ni 60 tu, baada ya hapo nguvu zinakuwa zimeisha na happ kinachofata ni umauti na UTAENDA KUSHUHUDIA LIVE juu ya ujinga unaoukanusha sasa,
Muda sio mrefu utakufa na utaenda kushuhudia mwenyewe,
Usibishe maana haya utayakuta tu HAKUNA SHAKA JUU YA HILI. Ni Suala la Muda tu
NA adhabu itaanza mara tu roho yako itakapo anza kutolewa, pale pale unapokata roho anakuja malaika wa mauti kukutoa roho kwa uchungu hadi mkojo na kinyesi kinatoka kwa wakati mmoja, muda si mrefu utayaona live ukiwa na madhambi hasa kwa wanaokataa kufuata Sheria zake,
Ila kwa aliye amini atakatenda mema roho yake itatolewa taratibu na atakwepana na adhabu kama hizi,
TUMUOMBE MUNGU ATUJAALIE MWISHO MWEMA,
Tusife ila tuwe tume tubu dhambi zetu ili tupate salama kwa Mungu
Amiin
Hayo magonjwa mbona ndoani yapo? Mbona kwenye mahusiano ya watu hayo magonjwa yapo?Mtakufa Siku si zenuu walai kutafuta magonjwa ya rejareja tu!! Hebuu tulieni asee!
Ila nyie watu wa dini mnafix sanaa, hebu ongea kwa factsMoja katika dalili za kiama, (siku zamwisho za ulimwengu) kutakuwa na idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaune,.
Itafika wakati mwanaune mmoja unaweza kuwa na hata wanawake zaidi ya 10 na bado wakabaki wengi tu ambao hawana wanaune,
.na katika mapokezi mengine ni mwanaune mmoja kwa wanawake 50 , hiyo ni rate
Source : prophet Muhammad (rehma na Amani zimshukie)
Kwahiyo usishangae hayo, yatatojea na huu ni nwanzo tu, ndo kwaanza panaanza,
HaaaaahaaaaHahaha, mkuu ulifaa sana kuwa mwalimu wa fasihi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mpe mkuu.anashida gan?ajui ni salary iyo[emoji2][emoji2]
Ndio maana sijawahi tegemea hela ya mtu toka nianze kujitegemea. Napanga matumizi yangu kulingana na kipato changu. Mimi ni mwendo wa nywele fupi hela ya saloon bora nitumie kufanya mambo mengine. Kuombaomba ili hali una mikono na miguu ni utumwaWanawake mahitaji yao yameongezeka kwahiyo ukijifanya kichwa maji utakalia kufanya kaz pesa inaishia kwa mwanamke tu ambae huna future nae yoyote
Safi sana asee! Njoo uchukue maua yako...Ndio maana sijawahi tegemea hela ya mtu toka nianze kujitegemea. Napanga matumizi yangu kulingana na kipato changu. Mimi ni mwendo wa nywele fupi hela ya saloon bora nitumie kufanya mambo mengine. Kuombaomba ili hali una mikono na miguu ni utumwa
Wanawake ni mama zetu na dada zetu (ashakum si matusi) ila ni washenzi sana!Unatumia muda wako mwingi, pesa zako hata mali zako kwa mwanamke ukijua atakuja kuwa mkeo.
Anaumwa, unatoa hela ya matibabu, vocha, chakula na mahitaji mengine ila mwisho wa siku anakusaliti na kuolewa na mtu mwingine.
Kingine, wanawake wamejaa tamaa sana ya mali siku hizi, ukiamuacha, unaweza kukuta amekuibia. Hata kuhamisha vitu vyako
Tafuta hela na limbikiza mali ili ikusaidie uzeeni. Mwanamke awe km ziada tu
Asante mkuu. Sijawahi mpenda mwanaume kwa ajili eti ananipa hela. Sijawahi omba sijui hela ya kodi, gesi, kusuka etc.Safi sana asee! Njoo uchukue maua yako...