Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Kuna binti mmoja nisha toka naye kama Mara 3 hivi,sasa toka mwezi April hatujakutana mwezi uliopita tukupoonana nikamwambia nimemis mambo yetu-akaniambia ni wewe tu hata kesho.Nikamudanganya Mimi sasa hivi sipo vizuri financially basi wewe lipia lodge twende zetu-manzi akasema yani Mimi nitafute hela kwa shida halafu nitumie hela yangu nilipe lodge nikalale na Mwanaume nikamuuliza kwani kuna shida gani ukilipa kwa ajili ya mimi mpenzi wako-akasema that will never happen.

Tokea siku ile nilimpotezea na kum delete kichwani kabisa ,juzi kanipigie ananiomba 200K,nikampa makavu nikamwambia hata Mimi natafuta pesa kwa jasho kama wewe siwezi kutoa hela yangu kwa mwanamke asiye thamini urafiki wetu.

Wanawake viumbe wa ajabu sana,hela yake yeye ina umuhimu,ya Mwanaume ndio anaona haina maana.
Umetisha mkuu [emoji123]
 
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Mahandaki na harufu za madawa ya Kinga ni kitu hutamani kukutana nayo, steak inatema kama nyama Oza,I can't torelate.
 
Zamani walihangaikiwa kwa shauku kubwa ili kuwafanya wawe wake zetu wakae ndani,
Kwani walikuw na sifa za kuwa wake ila hawa wasasa washapoteza sifa za kuwa wake na usumbufu mwingi + wapo kimaslahi zaid

Kwahy hawana tofauti na machangudoa sasa c bora ukanunue tu changudoa ukipiga unapita kwahivi maisha mengne yanasonga
 
Back
Top Bottom