grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Choma mishkaki in such a way mtu anaona tofauti ya mchoma mishkaki mwenye degree na asiekuwa nayo.Yani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Hakuna tofauti mishkaki ni mishkaki chief!Choma mishkaki in such a way mtu anaona tofauti ya mchoma mishkaki mwenye degree na asiekuwa nayo.
Sawa, ndio mwisho wa uono wako hapo.Hakuna tofauti mishkaki ni mishkaki chief!
Wanawake tumeamua kuchakarika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu. Tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Umeongea hekima kwa kuificha mkuu.Uko sahihi, vijana wa kiume wanakuwa wagumu sana kukubali matokeo.
Safi sanaKuna binti namfahamu ni best yawa mpenzi wangu walimaliza chuo wote mwaka mmoja na chuo kimoja ,kozi moja...Manzi yangu alibahatika kupata kazi mwenzie akabaki mtaani kwa mudabaadae akaamua auze nguo alianza kama utani na mimi mwanzoni nilivaa sana nguo zake za mtumba kwa sasa ana duka ni miaka 3 tu imepita na anajitegemea na maisha yanaenda.
Small mind!Sawa, ndio mwisho wa uono wako hapo.
Kazi ya chips na mishkaki unaweza kuifanya na ikakuingizia kipato kikubwa na kukupa heshima kuliko kazi ya ofisini. Unaweza fungua barbershop ya mtaani tu na ukaiendesha kisomi kiasi kwamba ukaheshimika na ukapata kipato.Unasoma mpaka university ili ule uuze chipsi? Shame Nikola Tesla alipoacha ajira yake kutoka kwa Thomas edison alienda kufanya hizi kazi zenu hizi sasa yeye alikuwa anasafisha vyoo yaani topaz alipoona potential aliyokuwa nayo akaamua kuacha upuuzi wa kuchimba vyoo.
Na mpaka sasa ana jina kubwa tu , ila hayo yoote yaliwezekana kwa sababu kwanza ana potential pili alipata wa kum backup , ni ujinga mkubwa serikali kusomesha wataalamu halafu wakakosa ajira ,kwa kiwango kikubwa tu hizo hela za mikopo kwanini wasingeliziongezea kwenye miradi mingine?
Hana akili hio.Kazi ya chips na mishkaki unaweza kuifanya na ikakuingizia kipato kikubwa na kukupa heshima kuliko kazi ya ofisini. Unaweza fungua barbershop ya mtaani tu na ukaiendesha kisomi kiasi kwamba ukaheshimika na ukapata kipato.
Unaringia degree moja wakati thermometer ina degree 100 na inafanya kazi kwapaniYani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Mkuu hakuna namna toka hapo ulipo uchakarikeYani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
hahhahahahahaaUnaringia degree moja wakati thermometer ina degree 100 na inafanya kazi kwapani
Ni TRA hawa wametumwa kuwaandama hadi mfanye kazi iliwakusanye kodi.wacha wachakarike, zamu yao sasa tuteleze kwenye ganda lao, unakula papuchi na pesa
Hela utazozipata baada ya kuuza mishikaki na ikiwezekana kuuza mishikaki kisasa ni bora zaidi kuliko hata hiyo unayoiita degree yako.Yani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Mkuu mwanamke anayetafta hela ngumu kuhangaika na body builder Bora kukutana na mtu mwenye akili ya maishaHali hii imesababisha ongezeko la ving'asti wengi mjini;
Sisi tunawashukuru sana, sisi wazembe sasa kazi yetu imekuwa kwenda GYM kujaza body, kuwavutia zaidi.