Imenifuraisha wanawake tumeamka ukiwa na hela yako ndogo Raha sio mpaka mtu akuzalilishe utu wako kisa shida si Bora uuze Chip's kwa Raha zako, wanaume wenyewe hata kununulia magelo friend wenu chupi hamuwezi. Wanawake tukiwa na uchumi imara na dhambi nyingi zinatutokaWaachaaa... Naona mada imekugusa kweli.
Hahaaa Hilo nalo nenoNi kweli kabisa na ukiongezea na wale masponsa wa kile kipochi chenye asali ya nyuki wadogo....
Kwa kweli tumeamka ujue kuomba hela ni utumwa mpaka tutoe kipochi manyoya tumegoma kabisa. Vikundi vya vicoba vinatusaidia sanaVicoba hoyeee, siku hizi wanawake ni watafutaji kuliko me
Sio kwamba hatupendi mtafute na kuzipata pesa. Wengi mkipata vihela mnajawa na kiburi na kuutaka ukichwa wa familia. Mkiwa na vipesa mnaota vimapembe kama mbuzi ndio shida.Imenifuraisha wanawake tumeamka ukiwa na hela yako ndogo Raha sio mpaka mtu akuzalilishe utu wako kisa shida si Bora uuze Chip's kwa Raha zako, wanaume wenyewe hata kununulia magelo friend wenu chupi hamuwezi. Wanawake tukiwa na uchumi imara na dhambi nyingi zinatutoka
Kuna co-relation ya degree na mishikaki? Kazi yeyote ukiwa binadamu unaweza kuifanya. Au wanaochoma mishikaki ni nusu binadamu nusu wadudu? Ukiwa na degree unakuwa super human?Yani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Sio kwamba tunataka kichwa Cha familia vile hela huongeza confidence na nyie huji feel inferior tu. So nawasisitiza wanawake tutafte hela KWA bidii, changamoto nyingi zetu wanawake ni uchumi, ukiwa na uchumi hata mda mchafu wa kuhangaika na mume na michepuko unakuwa huna, na dhambi na maumivu ya moyo yanaishaSio kwamba hatupendi mtafute na kuzipata pesa. Wengi mkipata vihela mnajawa na kiburi na kuutaka ukichwa wa familia. Mkiwa na vipesa mnaota vimapembe kama mbuzi ndio shida.
Ke akishakuwa na visenti vyake anahitaji kuwa na busara sana kuishi na Me aliyemzidi kipato.Sio kwamba tunataka kichwa Cha familia vile hela huongeza confidence na nyie huji feel inferior tu. So nawasisitiza wanawake tutafte hela KWA bidii, changamoto nyingi zetu wanawake ni uchumi, ukiwa na uchumi hata mda mchafu wa kuhangaika na mume na michepuko unakuwa huna, na dhambi na maumivu ya moyo yanaisha
Wala wanawake huwa hatuna shida ni nyie tu, Mimi siwezi acha tafta hela nitoke kwa umaskini eti kisa mwanaume atanionaje, nikiwa na hela nitalipa Ada za watoto, watakula vzuri ujue umaskini sio jambo zuri kabisa ni laana ile.Ke akishakuwa na visenti vyake anahitaji kuwa na busara sana kuishi na Me aliyemzidi kipato.
Wadada wana mtaji asilia. Unaweza kudhqni ni mama ntilie kumbe kuna mpingo unamwezesha.Uko sahihi, vijana wa kiume wanakuwa wagumu sana kukubali matokeo.
Ok, tafuta pesa ila pia baki mtiifu.😀Wala wanawake huwa hatuna shida ni nyie tu, Mimi siwezi acha tafta hela nitoke kwa umaskini eti kisa mwanaume atanionaje, nikiwa na hela nitalipa Ada za watoto, watakula vzuri ujue umaskini sio jambo zuri kabisa ni laana ile.
KATIKA MAZINGIRA YETU SISI WATANZANIA, MWANAMKE AKIFANYA HIZO BIASHARA NDOGO NDOGO NI RAHISI KUPATA WATEJA KULIKO SISI WANAUME. MFANO MWANAMKE AKIUZA JUISI AU UJI NA CHAI NI RAHISI ZAIDI VIJANA WA KIUME KUMUUNGISHA KULIKO AKIUZA HIVYO VITU MWANAUME MWENZAO NA HII IPO WAZI HATA BAR INAYOUZWA NA WANAWAKE NI RAHISI KUJAA WATEJA KULIKO ANAYOUZA MWANAUME.Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.
Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza sabuni nk.
Imekuwa kazi sana kumkuta mhitimu wa kiume akifanya hizi ishu ndogondogo kama kuchoma chips na mishkaki. Nini shida kwa vijana wakiume kuingia kwenye sekta isiyo rasmi baada ya kumaliza chuo?
Rai yangu, Serikali ijitahidi kwa nguvu zote kuweka mazingira ya vijana kuweza kujiajiri.
Yani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Hizo kazi za uchuuzi bora ningezianzaga miaka 16/ uko nyuma baada ya Mimi kumaliza la saba.Endelea kukaa na kula kwa shemeji.Ipo siku utaombwa visivyoombwa.
Jiongeze jombaa!
Hongera sana mkuu wiki tatu kitaa ukalamba shavu.Mkuu hakuna namna toka hapo ulipo uchakarike
Kaka yangu alimaliza chuo 2011 kipindi hicho ifm pale Information Technology huwezi amini alifungua duka la kushona viatu vya kimasai pale Kigamboni mji mwema
Wazungu wakienda beach wananunua, watz nao hawakua nyuma akapata wateja wengi sana
Kuna siku akikuja mteja pale ndo akamuunganisha kazi Jpaego sijui kama nimepatia hilo jina ila wanahusika na mambo ya takwimu hasa ukimwi , Malaria n.k
Duka baadae lilikufa baada ya kumuachia kijana mwingine ila nakushauri tuu toka hapo ulipo anza kufanya chochote mkuu, siku moja utapata kazi ya ndoto yako.
Binafsi nilipata bahati sikukaa sana mtaani, ndani ya wiki 3 baada ya kumaliza nikaanza kazi ila kaka yangu alisota sana mpaka tulifanya visomo kwamba amerogwa.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app