Unataka kusema kwamba jioni/ usiku huwa huoni foleni ya wanaume migahawani! Kuna tatizo mahali na kama mtoa hoja anavyosema haiwezekani wote hao wakawa mabachela.Mfano mke niko gongo la mboto Mume anafanya kazi mwenge ina maana chakula cha mchana nimpikie nimpelekeaa au aje yeye akili za namna gani hizi
Angeandika jioni usiku ni haki kumpikia MumeUnataka kusema kwamba jioni/ usiku huwa huoni foleni ya wanaume migahawani! Kuna tatizo mahali na kama mtoa hoja anavyosema haiwezekani wote hao wakawa mabachela.
Kama hautaki kumhudumia mkeo unataka naye akusiadie majukumu yako ya kutafuta pesa hiyo haki sawa lazima iwepo tu mkuuAtakwambia haki sawa, umlete house maid ili apike
I hope huyo mkeo bado unamhudumia na hakusaidii majukumu yako ya kutafuta pesaShida tunaiga kila kitu cha duniani tudai ni UTANDAWAZI ilihali wenzetu hawaigi vyetu, mbona Wachina hadi leo hii hawajaiga mtindo wa kuvaa suruali(jinsi) zilizochanika chanika kama vichaa?
Yani Ke avae chupi(bikini) iliyoacha matako nnje ili aonekane ni mjanja anayeenda na wakati nakati huo ni UTUNDUWAZI?
Mapenzi ya tamthilia za kifilipino waachie watoto wenyewe, sisi wahenga tunapikiwa na tunaendelea na mfumo dume kwa mila na desturi za kibantu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nani alisema kwamba ukioa mke wako lazima akupikie au wewe umpikie?Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani.
Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi.
Siamini kama population yote ya wanaume wanaokula mgahawani Kila siku hawana wake wa kuwapikia nyumbani, Explanation ninayoweza kuja nayo ni kuwa wake zao wanakataa kuwapikia.
Imeandikwa;I hope huyo mkeo bado unamhudumia na hakusaidii majukumu yako ya kutafuta pesa
Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani.
Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi.
Siamini kama population yote ya wanaume wanaokula mgahawani Kila siku hawana wake wa kuwapikia nyumbani, Explanation ninayoweza kuja nayo ni kuwa wake zao wanakataa kuwapikia.
Kuna mwanamke mmoja namfahamu, ni ndugu yangu na ni mama tu wa nyumbani, hachangii chochote kwenye kipato cha familia, mme wake anafanya kazi Nzuri ya kuendesha scania za kupeleka mizigo nchi jirani, na Kipesa mume anahudumia familia vizuri tu, lakini kazi ya kupika msosi wa mume, mara nyingi, asilimia 90% anaachiwaga housegirl, hapo unasemaje, Raha ya mke anipikie bhana KarmaDuuh sasa kama mke anakusaidia majukumu yako ya kutafuta pesa na kulipia bills, wewe unashindwa nini kumsaidia na yeye majukumu yake au kutafuta housegirl.
Na huu ndiyo ubinafsi mkubwa ambao wanaume wengi wa kiafrika mnao, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi aisee.
Yaani asubuhi mnatoka wote kwenda kazini then mnarudi usiku wote mmechoka, halafu unataka mkeo aingie jikoni afanye kila kitu peke yake wewe umekaa miguu juu.
Kama unaona hauwezi oa mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi wala biashara yoyote ili umuweke ndani awe mama wa nyumbani tu, uwe unamhudumia kwa kila kitu hadi hela ya mafuta na kitana anakuomba wewe.
Yaani siku hizi ndoa imekuwa mwiba na mzigo kwa wanawake na ndiyo maana wengi wanaona bora wawe single mothers wazalishwe waachwe walee wenyewe tu, hata kama jamii itawasema wako tayari wavumilie kuliko kuolewa.
Kuwahudumia wake zenu hamtaki mnataka nao watafute hela eti siku hizi maisha kusaidiana, ila ninyi kuwasaidia majukumu yao mnaona taabu mnawaacha wapambane na hali zao halafu wakiwanyima unyumba kwa sababu ya uchovu mnalalamika,
Bora zamani tu ambapo wanaume hawakutaka haya mambo ya kusaidiana maisha, wanawake walikuwa wanashinda tu nyumbani wanapata muda wa kutekeleza majukumu yao huku wanaume ndiyo wanatafuta kwa ajili ya wake na watoto,
Ila siku hizi mtu anataka mtafute wote na bado majukumu yako utimize kikamilifu anashindwa hata kujiongeza kukusaidia, mwisho wa siku mwanamke ndiyo anajikuta ana majukumu mengi kuliko mwanaume wakati mwanaume ni kiongozi na mwanamke ni msaidizi tu.
Duuh sasa kama mke anakusaidia majukumu yako ya kutafuta pesa na kulipia bills, wewe unashindwa nini kumsaidia na yeye majukumu yake au kutafuta housegirl.
Na huu ndiyo ubinafsi mkubwa ambao wanaume wengi wa kiafrika mnao, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi aisee.
Yaani asubuhi mnatoka wote kwenda kazini then mnarudi usiku wote mmechoka, halafu unataka mkeo aingie jikoni afanye kila kitu peke yake wewe umekaa miguu juu.
Kama unaona hauwezi oa mwanamke ambaye hajasoma na hana kazi wala biashara yoyote ili umuweke ndani awe mama wa nyumbani tu, uwe unamhudumia kwa kila kitu hadi hela ya mafuta na kitana anakuomba wewe.
Yaani siku hizi ndoa imekuwa mwiba na mzigo kwa wanawake na ndiyo maana wengi wanaona bora wawe single mothers wazalishwe waachwe walee wenyewe tu, hata kama jamii itawasema wako tayari wavumilie kuliko kuolewa.
Kuwahudumia wake zenu hamtaki mnataka nao watafute hela eti siku hizi maisha kusaidiana, ila ninyi kuwasaidia majukumu yao mnaona taabu mnawaacha wapambane na hali zao halafu wakiwanyima unyumba kwa sababu ya uchovu mnalalamika,
Bora zamani tu ambapo wanaume hawakutaka haya mambo ya kusaidiana maisha, wanawake walikuwa wanashinda tu nyumbani wanapata muda wa kutekeleza majukumu yao huku wanaume ndiyo wanatafuta kwa ajili ya wake na watoto,
Ila siku hizi mtu anataka mtafute wote na bado majukumu yako utimize kikamilifu anashindwa hata kujiongeza kukusaidia, mwisho wa siku mwanamke ndiyo anajikuta ana majukumu mengi kuliko mwanaume wakati mwanaume ni kiongozi na mwanamke ni msaidizi tu.
Mnaishi wote au kila mmoja anaish kivyake,,,?? swala la kula mchana mgahawan iko sawa,, veep kuhusu night imekaaje hapo,,,Mfano mke niko Gongo la mboto Mume anafanya kazi Mwenge ina maana chakula cha mchana nimpikie nimpelekeaa au aje yeye akili za namna gani hizi