Happy national pia, mkuu fulani kaweka mzigo ndo zimerudi maana mwenye hio kampuni alishajikatia tamaa kabisa na ndugu yake skyline.BIASHARA ZA TABIA FULANI MARA NYINGI ZIKIONEKANA ZINA KULIPA BASI VIONGOZI WAKUBWA WANATAKA KUWEKA PESA KWAKO WANUFAIKE.
NIMESHASAU KISA KIMOJA KUNA MAGARI YALI KUFA YALIKUWA YANA KWENDA SIJUI MOSHI,ARUSHA AU KILIMANJARO
Usitamani kurudi tena huko mkuu....angalia ya mbele sasa...Natamani kurudi enzi zangu ila umri unanisaliti
🙏🙏🙏Usitamani kurudi tena huko mkuu....angalia ya mbele sasa...
Kilimanjaro ana scania zipi mkubwa?Kila mfanyabiashara ana model yake yake ya biashara. Mbona Kilimanjaro na Nacharo bado wana Scania kibao tu na zingine ni mpya kabisa?
Rudi tu. Umri namba mkuuNatamani kurudi enzi zangu ila umri unanisaliti
Ally's na yutong wapi na wapi?allys kaua sana basi zake za yutong kisa kushindana na hizi scania
sawa team allys 😆 😆Ally's na yutong wapi na wapi?
Yeye ni golden dragon
Wewe ni bosi wa Chakito long way? Basi tulia cheza na wajukuuNatamani kurudi enzi zangu ila umri unanisaliti
Hapana kwa sasa ni muda wa kucheza na wajukuu tu na kufurahia kwa machache tuliyoyapambania ujananiRudi tu. Umri namba mkuu
Sawa baba, samahani skujua, furahia na wajukuu❤️Hapana kwa sasa ni muda wa kucheza na wajukuu tu na kufurahia kwa machache tuliyoyapambania ujanani
Wewe ni bosi wa Chakito long way? Basi tulia cheza na wajukuu
nilipanda kipindi zinaingia,Bus nzuri sana sijui zina hali gani sa hivi.EF series
Bado zipo zinapiga kazi Dar-Mwanza
Ziko vilevile VVIPnilipanda kipindi zinaingia,Bus nzuri sana sijui zina hali gani sa hivi.
Kweli mkuu hata mimi nikikumbuka miaka flani huko nasema 😅 daaaa!!.Natamani kurudi enzi zangu ila umri unanisaliti
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne
Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii
Kila la heri kwa huyu mwekezaji
View attachment 3032396
Ndo maana unakuta zingine body imechoka lakin chuma ivo gain mwendo huezi aminiBody mchina engine msweden