Naona Katarama Luxury hana Masihara kanda ya Ziwa

Enzi zetu barabara zilikuwa mbovu magari yenyewe mangumu kumeza leo hii vijana barabara safi gari mayai na ziko safe
Siku hizi hawaingii gereji (msoto) hata gereji hawazijui, sehemu inapokaa spea tyres hawajui, yaani hata wepa ikiwaka na maji hamna hajui wapi maji yanawekwa.

Siku hizi chuma zinakuja, unapigiwa simu kesho njoo uende Mwanza na hili basi jipya 😀!.
 
Wana raha sana
 
katarama ana basi za polo 6 EBR ziko 2 kisha ECR kisha akavuta EDRbaada ya hapo akavua DXE Iliyokuwa sauli slow poison kisha ndio now anevuta EHC hii EHC Imeundwa AAVA kenya sio china, piakuna irizar Mbili jumla zitakuwa 8 polo moja mil 800+ huyo ndio katarama
 
Kilimanjaro ana scania zipi mkubwa?
Marcopolo zile Andare. Sidhani kama ana hizi model mpya za body Gemilang kama za Super Feo ama Katarama.
 

Attachments

  • KLMJ.jpg
    41.6 KB · Views: 5
Amuulize SAULI alifeli wapi hadi scania wakaja kuchukua mabasi yao, ili aisije kupitia ya SAULI
Tajiri wa madini alikurupuka baada ya kupiga mawe yakaisha hana swaga.
Aliingiza mabus kuuza sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…