bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Hao traffic chenga unarudije nyuma sasa hali hata mbele pana kituokuna dereva anaitwa Machage, mwamba sana huyu jamaa
traffic walitaka kurudisha gari kutoka ubena hadi chalinze kwamba akatoe maelezo, jamaa kawambia mimi sirudi nyuma, wacha niende mwanza nisicheleweshe abiria nikirudi nitakuja kutoa hayo maelezo
Kwa mbio na sio kwa comfortable and luxuries.Ukisikia bus ni SCANIA ni habari nyingine! Yu dong sijui Zong dong hayo ni cha mtoto!
Comfortable kwa michina hakuna kabisa.. nmepanda sana michina ila kwa katarama ni habari nyingine kabisa, chombo inatulia barabarani na minenso ya kutoshaKwa mbio na sio kwa comfortable and luxuries.
Scania level ya mchina bila billion moja ujaiweka barabarani ambapo Africa hailipi
MAtajiri wote wa mabasi wako kwa MchinaUkisikia bus ni SCANIA ni habari nyingine! Yu dong sijui Zong dong hayo ni cha mtoto!
Weka ushabiki pembeni kwanzaComfortable kwa michina hakuna kabisa.. nmepanda sana michina ila kwa katarama ni habari nyingine kabisa, chombo inatulia barabarani na minenso ya kutosha
ALLYS STAR , SAMA wapo vizuri Sanaa piaJamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni kuumwaga moto naskia abiria wa kanda ya ziwa hawapendagi kabisa gari za kulala njiani, akaongeza scania zingine 2 zikawa nne
Now naona kaongeza chuma cha 5 kutoka Scania na kuna irizar 2 kutoka South Africa jamaa naona hatanii
Kila la heri kwa huyu mwekezaji
View attachment 3032396
nitoe huko kwenye ushabikiWeka ushabiki pembeni kwanza
Ndiko uliponitoe huko kwenye ushabiki
Sio poaComfortable kwa michina hakuna kabisa.. nmepanda sana michina ila kwa katarama ni habari nyingine kabisa, chombo inatulia barabarani na minenso ya kutosha
Kuna business mindset na business plan. Sauli aliendekeza mashindano ya kipuuzi na New Force wakati ana mabasi machache. Nenda geuka si kitoto, mabasi alikuwa hapumzishi! Yalipoanza kuchoka yalichoka kwa wingiAmuulize SAULI alifeli wapi hadi scania wakaja kuchukua mabasi yao, ili aisije kupitia ya SAULI