Naona maisha yangu yako ukingoni, Sina Pesa wala kazi

Status
Not open for further replies.
Namba mbili si uliomba ushauri wa kutumiia ile mil 50 sasa hivi tu imeisha????
Namba tatu usichague sana na usiweke malengo makubwa sana kwa vijana.... Tafuta maskini mwenzio muenjoy maisha usife kabla hujafaidi penzi la kimaskini!!!!!
Usijinenee mabaya.
 
WEWE NI MWANAMKE AU MWANAUME?
 
Mimi natesekaga nikifikia hatua uliyofikia nasema liwalo na liwe...nikishakata tamaa ndipo msaada unakuja tena kwa kuamuru kwa hasira.

Jifungie ndani pandisha hasira alafu amuru mema kwaajili yako siku chache mbeleni utaona milango ikifunguka yenyewe πŸ™
 
Haka kabinti sijui kamama au kakijana ni kaongo in short, kumaliza milion 50 ndani ya wiki moja ni uongo
 
We jiue tu maisha ni magumu kote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…