Biblia hata sisi tunasoma. Kuna watu hawahubiri imani.Hii dunia ukimtumikia Mungu wanakudhihaki......ukienda kwa shetani wanajifanya wanakukosoa
Kama kipindi cha Mtume Paulo kungekua na jf basi kuna uzi ambao ungesomeka
"YULE SAULI ALIYEKUWA AKIWAUA WANAFUNZI WA KRISTO NAYE AWA MTUME!!!!
Hapo bila shaka comment ya kwanza ingekuwa
Hii
"ameona wanapiga hela na yeye ameamua ajiunge nao"
Biblia hata sisi tunasoma. Kuna watu hawahubiri imani.
Wao Wanafanya biashara tu.
MC Pilipili ni tunda la Masanja. Kapata inspiration hapo.Mathayo 7: 15-20 inasema
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.
Kama unasoma Biblia kumjua anayefanya biashara ni rahisi sana ni kwa kuangalia matunda yake tu
Shida ni kwamba nyie mmeangalia sura na jina la Mc pilipili mkaanza kucritisize
Lakin pia tafakari mstari wa 19 hapo juu unaongelea mti usiozaa matunda ufanyweje so ukiwa ndani ya Kristo ni jukumu lako kuzaa matunda (kutoa huduma)
Basi hata Yesu alivyooshwa miguu yake na kahaba na alivyokula pamoja na watoza ushuru naye inabid tumkatae sasaMC Pilipili ni tunda la Masanja. Kapata inspiration hapo.
Masanja anajulikana na hata marafiki zake ni kina Sabaya.
Sisi wengine siyo waumini misukule. Tuna akili zetu timamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]Kwa kipaji nilicho nacho najichelewesha aisee
jiheshimu kw hiyo masanja ameitwa ?Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
Yesu alipakwa mafuta na yule kahaba kama njia ya toba.Basi hata Yesu alivyooshwa miguu yake na kahaba na alivyokula pamoja na watoza ushuru naye inabid tumkatae sasa
Nambie ni mtumishi gani wa haki kwenye biblia amewahi kupendwa, kushirikiana au kufanya ya watawala makatili ?maana naona umemhukumu Mc pilipili kupitia masanja ambaye naye hujaangalia matunda yake(mwenendo wa kiroho wa watumishi wake) bali umemtumia sabaya kumkataa masanja sasa sijui huyo sabaya ana dhambi sana kiasi kwamba mtu akiwa rafiki yake na yeye anakuwa hafai tena kumtumikia Mungu???kama ndivyo basi nipende kukujulisha kila mtumishi unayemuamini anajuana na mtu mwenye mabaya yake kama sabaya alivyo na ya kwake
1Wakorintho 5:10Yesu alipakwa mafuta na yule kahaba kama njia ya toba.
Kina Masanja na Pili pili case yao ni tofauti. Wao wanashirikiana kwa mambo ambayo siyo kabisa ya kikristo.
Nioneshe ni wapi Yesu alishirikiana na wadhambi kufanya mambo yao ?
Nambie ni mtumishi gani wa haki kwenye biblia amewahi kupendwa, kushirikiana au kufanya ya watawala makatili ?
Ni wapi watumishi wa Mungu walikaa kimya huku wakila wine mezani kwa watawala makatili ?
Hivi ninyi mnasoma biblia gani ?
Dini n mpango wa mwanadamuHaya makanisa ya walokole yangepigwa marufuku.. Watuachie tu Roman catholic, Anglicana na KKKT yanatosh