Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Biblia hata sisi tunasoma. Kuna watu hawahubiri imani.Hii dunia ukimtumikia Mungu wanakudhihaki......ukienda kwa shetani wanajifanya wanakukosoa
Kama kipindi cha Mtume Paulo kungekua na jf basi kuna uzi ambao ungesomeka
"YULE SAULI ALIYEKUWA AKIWAUA WANAFUNZI WA KRISTO NAYE AWA MTUME!!!!
Hapo bila shaka comment ya kwanza ingekuwa
Hii
"ameona wanapiga hela na yeye ameamua ajiunge nao"
Wao Wanafanya biashara tu.